Changamoto za mahusiano

Changamoto za mahusiano

B3CD42ED-49D4-40E1-B126-3EC0A392F298.jpeg
 
Kwanza kama unajua mapenzi ninini, na umeshawahi kupendwa huwezi kuwa na mtu wa hivyo hata kwa mwezi mmoja, sababu low-key mtu wa hivyo hawezi kukupenda fully.

Akili zao haziwaruhusu kukupenda/kukupa mapenzi walau kwa asilimia 70, they are so mean, rude and in most cases they will give you backhanded compliments… In their mind wewe ni distraction unayemzuia kuwa na yule amtakaye kwa 100%

You will never enjoy, you will never find peace na mtu wa hivyo so shortcut hapo ni kupiga chini mara moja.

However watu wengi hawajawahi kupendwa so they will settle for anything out there… Hawajui mwanaume akipenda anakuwaje na mwanamke akipenda anakuwaje so usishangae mtu akawa na mtu wa hivo miaka na miaka asigundue tatizo.

Wazazi tupende watoto wetu wakikua they will make mistakes sawa, ila mwisho wa siku they will choose better or they will stay gadem alone!
 
Sawa sawa👏
Hauna kaka unipee😋
 
Back
Top Bottom