ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,789
- 44,093
Wewe usinitishe hata kidogo chagua location nikufundishe namna ya kukimbia bila kutoka jashoSikiliza miaka ile ya JK tulienda Dodoma ss tulifikia Giraffe pale.
Jioni ss mwenzatu mmoja anasema twendani pale CBE nikamuone dogo alafu twende chako ni chako Enzi hizo ipo juu.
Tumefika pale college tukamuona dogo Salam kidoho tukaanza safari mdogo mdogo by Tz 11. Kwa mguu.
Tumevuka ile road ss twende kule njia ya Giraffe mmoja wetu kabeba walet ina pesa, ina simu, kibaka alipita km upepo na ile wallets shaaaaaaaa.
Tulikuwa watatu nilimkimbiza yule kija na hata kuja kusahau pale kuna Kota Zina fensi aliruka nikaruka nae.
Kumbe wakati miye naruka yeye akawa ameirusha ile wallet kwenye mauwa.
Wale wenzangu wapo mwiziiiiii wNapiga tuuu kelele mwiziiii mxiuuuu.
Short tuu tulimkamata na wallet tuliipata ila pesa zilipotea ila simu ilirudi.
Nimekupa taadhali miye siyo wa sport sport ooohh
Najua mpo humu mnakumbuka ile habari eti
Halafu tofautisha kati ya mkimbiaji na mwana masumbwi