Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,173
- 8,819
Haaaaaaaaaaaah
Haaaaaaaaaaaah
Niliona kavaa shanga
Fire 🔥 kuna mwenzio ananigalagaza (Jokes)Sikuwezi
Umeanza 🤣
Kila mbabe ana mwamba wake sishangaiFire 🔥 kuna mwenzio ananigalagaza (Jokes)
🤣🤣🤣 NataniaKila mbabe ana mwamba wake sishangai
Eeenh bwana mkorofi sana wewe.🤣🤣🤣 Natania
Usagaji (lesbian) haina shida...Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni
1. Msagaji
2. Wali nazi?
Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu?
Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?View attachment 3595372
Basi naokoka amenEeenh bwana mkorofi sana wewe.
Mkuu kilingeni kwako kuna dawa inayomfanya binti azeeke ghafla
Mash-Allah Itakuwa heri yakhe.Basi naokoka amen
Bi idhin llahMash-Allah Itakuwa heri yakhe.
Eti kama mwewe uwiiKumbe inafikiaga hivi.!
Sema nyie wenye makucha ya kubandika kama mwewe.! Kila boxa ya mume anafua Dada utashuhudia lini hili
wala nguo za mwanaume wangu nafua mwenyewe!zee la totoz in 1&2. 😎Msagaji sio issue, wengine fantasies zetu ni kucheza watatu!!
Mbona mizigo ya kuvunja chaga mkuu
Subhannallah mbona unajiapiza hivyo, hiyo dini yako ?Bi idhin llah
tupe ubuyuMshana Jr kuna siku km saa 7 na nusu usiku humu humu ndani kuna faili lilishushwa chaaa.
Fulani kaachika kwa sbb ya kusagana na ana watoto wawili teena ile ID naikumbuka vzr. Tulichangia km watu nne hivi uzi ukapote mpk leo.
Na bahati nzuri ID zoote za ke/me zikawekwa.
