Changamoto za mahusiano

Changamoto za mahusiano

Msagaji sio issue, wengine fantasies zetu ni kucheza watatu!!
28467681-4c93-46cd-ae23-b7e2e4e6ddf5.jpeg
 
Mshana Jr kuna siku km saa 7 na nusu usiku humu humu ndani kuna faili lilishushwa chaaa.
Fulani kaachika kwa sbb ya kusagana na ana watoto wawili teena ile ID naikumbuka vzr. Tulichangia km watu nne hivi uzi ukapote mpk leo.
Na bahati nzuri ID zoote za ke/me zikawekwa.
 
kwanza sintapanic,
nitathibitisha na kujiridhisha kwanza ikiwa ni kweli au nimeona maruwe ruwe tu,

jambo la pili,
kama mwanaume kamili,
nitafanya utafiti wa kina ili kubainisha ni kitu gani hasa kilimfanya aanze kufanya hiyo chafu, na ni kipi hasa kinachochea ang'ang;ane na hiyo nonsense.

kwa hatua za awali,
Jambo la tatu,
kama mwanaume kamili,
kwa hatua za awali katika kutafuta majawabu ya changamoto hizo, sintamshirikisha mtu yeyote ispokua Mungu kuhusu hiyo changamoto. Nitamsitiri huyo pisi kali na kuhakikisha tunapambana kadiri iwezekanavyo kutafuta majawabu ya changamoto hiyo, kuidhibiti na kuiacha kabisa tabia hiyo, na hatimae sasa nawe awe miongoni mwanaharakati machamoioni wa kupambana na kuhakikisha wengine hawajitumbukizi kwenye hiyo nonsense.

Lakini,
nikikwama kuidhibiti changamoto hiyo,
ndipo sasa nitaanza kutafuata usaidizi ambao nao lazima na wenyewe uwe very credible kwangu,

na kwakweli nitamfanya pisi kali huyo awe mfano wa mabadiliko ya kimaadili miongoni mwa pisi kali wengine wanaodharauliwa kwenye jamii kwasababu ya hiyo upuuzi wa kuishi kwenye kiza cha ushetana, na kuwafanya waingie katika nuru na kuachana kabisa na hiyo chafu.

Kuna baadhi ya changamoto kwenye mahusiano, zinafaa kugeuzwa na kutumika kama fursa muhimu sana ya mabadiliko ya kijamii, kisiasa au kiuchumi.
Hakuna haja ya mwanaume kamili kupanic na kukimbia changamoto, ni muhimu sana kupambana nazo na kuzimaliza kabisa.

Mungu Ibariki Tanzania :pulpTRAVOLTA:
Pande hizi unatamba ila kule hamna kitu
 
Mshana Jr kuna siku km saa 7 na nusu usiku humu humu ndani kuna faili lilishushwa chaaa.
Fulani kaachika kwa sbb ya kusagana na ana watoto wawili teena ile ID naikumbuka vzr. Tulichangia km watu nne hivi uzi ukapote mpk leo.
Na bahati nzuri ID zoote za ke/me zikawekwa.
Eb ninong'oneze hapa tupo wawili

Kesho ni sikukuu vya kuchinja vipo?
No ya muamala 099886726
 
Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni
1. Msagaji
2. Wali nazi?
Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu?
Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?View attachment 3595372
Huwa sielewi kwanini watu wanapenda kuvaa bangili nyingi hivi mkononi. Kuna sababu gani haswa nyuma hili?
 
Back
Top Bottom