Changamoto za mahusiano

Changamoto za mahusiano

Aiseeeee!! Kuna kitu kipya nimekichukuaa hapaaa.

Hujawahi kukosea ktk kuchangia mada, barikiwa mnooo.👏👏
😍Yes maa, kila kitu kinaanzia kichwani… Hata mtu ajifiche vipi.

Ndio maana mi sina tatizo na watu walioamua kujiachia, they are better kuliko hawa wa behind the closet wanaleta kasheshe tu kwenye mahusiano yao wakati wangechagua kuwa huru…..
 
[emoji7]Yes maa, kila kitu kinaanzia kichwani… Hata mtu ajifiche vipi.

Ndio maana mi sina tatizo na watu walioamua kujiachia, they are better kuliko hawa wa behind the closet wanaleta kasheshe tu kwenye mahusiano yao wakati wangechagua kuwa huru…..
Maa uko sahihi sana, kuna kitu umekiongea pale kwa comment, nimeona ni chenyewe haswaa,
Swadaktaaa, bora mtu uwe wazi kuepusha sintofahamu na mushkeli zingine, kuliko kujificha afu baadae unakua inakua tatizo au balaa ambapo ungekua wazi, ingekua ni heri zaidi.

[emoji122][emoji122][emoji122] hujawahi kukoseaa kabisaa.
 
Wewe umegundua leo?
cf1f3aac-d29f-4b91-bfd7-9b303ec2593b.jpeg
 
Back
Top Bottom