NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,023
- 2,492
Zinakuwa chini kwenye kizalio.Hivi wanawake akili zinakuwa wakizaa?
Zinakuwa chini kwenye kizalio.Hivi wanawake akili zinakuwa wakizaa?
kwa hiyo huenda aliwahi kupata mimba akazitoa, au alikuwa tayari kuzaa ila hakuwa na rutuba au ni mwaminifu au mwangalifu.Mbona jibu rahisi? Hakuwa tayari kuzaa kabla ya ndoa.
na 36-60 wameuawa kabisaKweli naona under 25 wanakandamizwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wametumia kigezo gani kuconclude kwamba under 25 wote hawafai...
Ila hao over 25 nao imekua changamoto..Sasa hapo sijui wanaume mnataka wepi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hajachunguza vizuri aumm
Sio kweli Rebeca 83I think kuna umri wa kuoa na kuolewa,sijui 28-32 years,ukivuka hapo au ukiwa mdogo hapo jua ni matatizo
Nadhani changamoto kubwa zaidi ni kujua iwapo mwenzio anakupenda wewe ama status yako (ya kiuchumi au ajira). Upendo wa kweli kabisa kwetu sie old school haijalishi una pesa ama kazi nzuri, unaangalia vision aliyonayo mwenzio na kuona kama mtafika ndoto zenu pamoja.
All in all siri zote zina Mungu mwenyewe. Trust your guts jilipue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejifunza nini kwa Mengi...?.may he RIPKuoa mtoto raha sana.. wewe una 45 yeye ana 22. Unajua ikiwa 45 maisha ndio yamenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukianza kufukuzia vibinti unakuta unashindana na watoto waliokua form 2 wakati wewe unasoma mastersKwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.
Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
31 ila sina mtotoKwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.
Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
35 endeleea hao ni maseniour bachelourSenior bachelor inaanza ukiwa na umri gani?
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Peupeeeee chezeyaa calibre ya kina HusseinWewe una 60 mtoto ana 37,lazima ugongewe
Bs na 28you sound 13....