tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,757
- 31,120
Kakwambia nani wenzio wanaoa tu hata kama ana mtotoMtoto ndiye anayekufanya uache nyodo na shombo kwa wanaume?
Hapo hakuna mjadala mwishowe utaanza kugongana na vijana 25 mnagombea msichana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimejibu hili swali mara nyingi kweli....36
Watapata tabu sana, unakuta bidada kakaa weee anatokea mtu wambali anaoa wanabaki kukodoa [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Wanaume hawajui wanachokitaka Over
Hii thread inakuburudishaWatapata tabu sana, unakuta bidada kakaa weee anatokea mtu wambali anaoa wanabaki kukodoa [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wanaume kila siku unakutana na maronya ronya wasio elewekaOh maombi nilijua wanawake tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini unaniambia hivyo!Hii thread inakuburudisha
I concur with you, about building walls. With that, one never notices any potential partner/s.I’m good thanks,nimekuelewa,ila Kama umeshamake decision ni vigumu kuona potential partners kila siku unawapita, ni Kama ume build walls around yourself!
Yaani kila unapotafuta hupati hitaji lako unakutana na wasio eleweka, mara mlevi mzinzi kuzurula na umbea yeye sasa hapo utaoa kweli?Sijakuelewa
Nakuona tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini unaniambia hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
OhYaani kila unapotafuta hupati hitaji lako unakutana na wasio eleweka, mara mlevi mzinzi kuzurula na umbea yeye sasa hapo utaoa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yako Neybright yuko wapi? Ashabadili ID ?Yaani kila unapotafuta hupati hitaji lako unakutana na wasio eleweka, mara mlevi mzinzi kuzurula na umbea yeye sasa hapo utaoa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
ukioa dogodogo na wewe umri umekwenda jiandae kupigiwa maana hutamuweza kumkazaAh wacha tuu....ni balaa. Ila hamna shida onaoa tuu dogo dogo cha msingi ndalama ipo
Nakuona tu
Rafiki yako Neybright yuko wapi? Ashabadili ID ?
Na mimi siku naona wadada kama wewe hamtakosekana kutoa ya moyoniHaaa jamani kaka sio hivyo, unanikumbusha wakaka walivyokuwa viwembe siku ya kuoa wameoa majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi siku naona wadada kama wewe hamtakosekana kutoa ya moyoni