Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Si kweli.
Labda single mother amlee mtoto mwenyewe...

Ila Kama mkuu atamlea vizuri akapata mapenzi ya baba na mama ,then na yeye atataka kulea familia yake ya Baba na mama

Kwa experience yangu wengi ambao ni single mother ukifatilia utakuta mama yake pia alikuwa single mother ila baadae akaolewa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika.

Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.

Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.
mkuu vitu vipo vya kutosha ni wewe tu utafutaji wako mbona la profesori kapuya kaopoa kajukuu chake cha 25 yrs? tena kitu bado piru kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamuona Mwenzako Mzee, Kumbe Wewe Ni Mzee Zaidi. Hakika Kila Jambo Lina Faida Na Hasara
 
unatafuta mke unakuta ana miaka 20-22 hana mtoto akili zake sasa anataka hela ya soda,vocha na chips ukimuuliza biashara utasikia si umenipenda kila kitu ww hamu ya kuoa inaisha
sasa kama unataka karaha Oa mwanamke less than 25 yrs, utapata tabu sana.
 
Unakuta Class Mate Yupo Sawa Kazini Ana Watoto Kipato Safi Ila Wewe Hoi Huku Ukisema Alikuwa Kilaza Darasani. Wengine Wana Masters Hawana Hata
Mtoto, Kazi. Wengine Kusoma Hawajui Wana Watoto
Digital Generation
 
Nadhani changamoto kubwa zaidi ni kujua iwapo mwenzio anakupenda wewe ama status yako (ya kiuchumi au ajira). Upendo wa kweli kabisa kwetu sie old school haijalishi una pesa ama kazi nzuri, unaangalia vision aliyonayo mwenzio na kuona kama mtafika ndoto zenu pamoja.

All in all siri zote zina Mungu mwenyewe. Trust your guts jilipue tu

Sent using Jamii Forums mobile app
you nailet it.
 
Ndio pale tunaanza kuchekwa kwamba

wanaume tuliooa tunaongoza kuvaa nguo zilizopauka, wakai wengine tunashine kila siku.

Kuwa Makini dont marry a less than 25yrs.
Huu ni mtihani. Chini ya 25 wako wengi ila ni suicide, over 25 kama hajaolewa ana mtoto.
 
Back
Top Bottom