Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.

Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.

1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)

2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)

3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.

4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Ndoa za Senior bachelor ni nadra sana kuvunjika tofauti na watoto wanaooana wakiwa na umri wa 20s
 
Wakati wa Mungu ukifika atakuletea wa kufanana nae, sasahivi utahangaika, utachagua chagua but Mungu akirelease his grace utashangaa utakavyompata kirahisi tena mdada aliye wife material. Yamkini Mungu bado anamtengeneza huyo mke aliyemkusudia kwako, maybe kuna areas of weaknesses ambazo wewe usingeweza kuzivumilia hivyo anamuandaa kwaajili yako na the same kwako. Unaweza kujiona unafaa but Mungu anaona kitu kwako ambacho sio therefore anakutengeneza bila kujijua wewe.
Point, wakati unasubiri mume au mke mwema mwombe sana Mungu akufanye nawewe kua mwema. Ishi katika maisha matakatifu. Tulia mwombe Mungu. Mungu atakusaidia siku atakayoona wewe na mambo yataenda automatically had utashangaa. Wishing you all the best
Amen
 
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.

Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.

1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)

2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)

3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.

4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Kwa kifupi mnaogopa majukumu mnaleta visingizio!
 
changamoto kubwa kwangu mimi nimezoea kuishi mwenyewe, akija manzi tu gettoh akikaa week namchoka sababu kwanza nikipanga ratiba zangu muhimu nimzingatie na yeye, yaan mfano mda wa kurudi home, pia mara nyingi nikiwa home nahitaji kupumzika zaidi kuliko kuongea hii ni changamoto zaidi maana ukiwepo nyumban anataka story zaidi, Mungu anisaidie anibadilishe, maana pia nimekua mkosoaji mkubwa
 
Mkuu kwanini sijaelewa maelezo yako?
Tuachane na kujilipua...sijilipui hata nifike 40!

Nadhani changamoto kubwa ipo hapo pia.

I once met a lady ambaye, na ninamshukuru sana, baadaye alikuja kunieleza ukweli tu kuwa 'She was in love with the idea of me'. Maana kwa maneno yake kila binti anataka akutane na mwanaume msomi, ana kazi, probably ana gari na ana nyumba. Sasa anapokutana na wa hivyo halafu ikatokea huyo mwanaume akaonesha kumpenda binti, basi ni rahisi binti kuhisi 'this is love'.

Nilikuwa na bahati huyu alikuwa muwazi..ingawa niliumia maana nilihisi nilimpenda. But such is our fate...
 
changamoto kubwa kwangu mimi nimezoea kuishi mwenyewe, akija manzi tu gettoh akikaa week namchoka sababu kwanza nikipanga ratiba zangu muhimu nimzingatie na yeye, yaan mfano mda wa kurudi home, pia mara nyingi nikiwa home nahitaji kupumzika zaidi kuliko kuongea hii ni changamoto zaidi maana ukiwepo nyumban anataka story zaidi, Mungu anisaidie anibadilishe, maana pia nimekua mkosoaji mkubwa
Una ubinafsi fulani wa asili
 
Wakati wa Mungu ukifika atakuletea wa kufanana nae, sasahivi utahangaika, utachagua chagua but Mungu akirelease his grace utashangaa utakavyompata kirahisi tena mdada aliye wife material. Yamkini Mungu bado anamtengeneza huyo mke aliyemkusudia kwako, maybe kuna areas of weaknesses ambazo wewe usingeweza kuzivumilia hivyo anamuandaa kwaajili yako na the same kwako. Unaweza kujiona unafaa but Mungu anaona kitu kwako ambacho sio therefore anakutengeneza bila kujijua wewe.
Point, wakati unasubiri mume au mke mwema mwombe sana Mungu akufanye nawewe kua mwema. Ishi katika maisha matakatifu. Tulia mwombe Mungu. Mungu atakusaidia siku atakayoona wewe na mambo yataenda automatically had utashangaa. Wishing you all the best
Jamani such a courageous script be bless abundantly
 
changamoto kubwa kwangu mimi nimezoea kuishi mwenyewe, akija manzi tu gettoh akikaa week namchoka sababu kwanza nikipanga ratiba zangu muhimu nimzingatie na yeye, yaan mfano mda wa kurudi home, pia mara nyingi nikiwa home nahitaji kupumzika zaidi kuliko kuongea hii ni changamoto zaidi maana ukiwepo nyumban anataka story zaidi, Mungu anisaidie anibadilishe, maana pia nimekua mkosoaji mkubwa
Umeishi mpweke muda mrefu hayo ndio madhara yake. Mkiambiwa muoe mapema hamtaki, basi heri uishi peke yako ili usipate bugudha
 
Kiuhalisia mwanaume unatakiwa uoe mwanamke uliyemzidi umri wa miaka kati ya miaka 6 - 15.Huu ni uwiano mzuri wa kuja kuzeeka pamoja,na mwanaume kuwa na fikra ya kumuongoza mkewe katika changamoto mbalimbali za maisha.
NENO LANGU SI SHERIA.
 
Back
Top Bottom