Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,197
Hakuna umri sahihi wa kuoa...ila nadhani 25-32.Miaka 5 kidogo, shule wengi wanamaliza 22-26
Mwanaume.
Hakuna umri sahihi wa kuoa...ila nadhani 25-32.Miaka 5 kidogo, shule wengi wanamaliza 22-26
Nilimaliza shule nina miaka 30 net, sasa ningesema nijikusanye si pale unakuja kuoa unaolea manjemba ya mtaa??Ujue huu mwili una expire date ati! Usidhani utakuwa vile vile unavyojiona leo.Miaka 5 kidogo, shule wengi wanamaliza 22-26
Huyu kashameki decision,anawachora tu
hahahaaa ndivyo akili zangu zinavyonituma....mtazamo potofu kabisa huu.Mimba,kitendo cha mara moja,one sperm only,haihusiani na kufumuliwa mkuu
Familia bora ni moja ya usaidizi mkubwa sana ktk maishaKama unawaza familia hongera saana,
Nilidhani wengi tunapwaya sehemu nyingi na kujiona tunahitaji wasaidizi.
Umri ukienda sana napo ni shida, unajikuta mabinti wadogo unawaona kama wanao tu.Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1.kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2.wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3.kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Uongoooooo tusio na watoto tupo wengi tu sema hujachunguzaHakika.
Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.
Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.
Hapo kwenye kujilipua.....Nadhani changamoto kubwa zaidi ni kujua iwapo mwenzio anakupenda wewe ama status yako (ya kiuchumi au ajira). Upendo wa kweli kabisa kwetu sie old school haijalishi una pesa ama kazi nzuri, unaangalia vision aliyonayo mwenzio na kuona kama mtafika ndoto zenu pamoja.
All in all siri zote zina Mungu mwenyewe. Trust your guts jilipue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Namtetea, he is honest about this.
How are you by the way Rebecca.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio point yangu ya Kwanza, shida kwelikweliUmri ukienda sana napo ni shida, unajikuta mabinti wadogo unawaona kama wanao tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukioa single mother kuna probability kubwa sana ya mmoja wa watoto wako kuja kuwa single mother pia, u-single mother unaambukiza/rithishika
Sent using Jamii Forums mobile app
Na watoto awapate kwenye vendingmachineSasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.
Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.
Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.