cataliya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 458
- 361
Unaharibu sasa...
Sio movie bana ni from our hearts...
Unaharibu sasa...
Yaani inavutia sanaUnaharibu sasa...
Sio movie bana ni from our hearts...


Wala sikaziYaani inavutia sana
Mungu ajaalie mambo yaende vizuri,usimkazie sana bro![]()
Ukiwa mkubwa wajua nn wataka.
Amen dadaUkiwa mkubwa wajua nn wataka.
Ile mithali ya dont judge a book by its looks apply alot....
Sio ukiona harrier tako la paka unapapatika kumbe imeazimwa...
The older you get, u have eyes that see and not those that look.
Vipi wewe umechelewa sana eeh?Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.
Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Umenikosha sana na hii commentNi pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;
A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.
Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?
Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Senior bachelor inaanza ukiwa na umri gani?
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾Usukumani ni 17 yrs kama hukwenda shule