J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
Mali mtu hupewa na babaye bali mke mwema anatoka kwa MunguHawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
Mali mtu hupewa na babaye bali mke mwema anatoka kwa MunguHawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
Hivi wewe unapatikana hivi sahivi ushafikisha miaka mingapi
Ur still a learnerMimi toka niachane na demu wangu wa chuo..chuo nilimaliza mwaka 2009 demu nimekuja kuachana mwaka 2015
Kila demu ambaye ana sifa nazotaka since 2015 lazima nikute ana mtoto
Ni demu mmoja out of six ndiye hakuwa na mtoto..na huyo si kumpenda kivile japo alinipenda saana
So nimeamua nitaoa single mother..maana nataka demu mwenye umri wa miaka kati ya 25-30
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa kweli aisee kuna rafiki angu mmoja huniletea mashtaka kila siku yule binti ana 22 yaani visa vya ajabu ajabu mpaka najiuliza aahh hivi alilazimishwa kuolewa au nini??sasa kama unataka karaha Oa mwanamke less than 25 yrs, utapata tabu sana.
Mention them so that we can be sure that ur not talking about ghosts!!!!hii vita si mchezo..
ila all in all haya mambo hayana formula...
wapo waliooa singo maza na ndoa zao zazidi shamiri deile & wapo waliooa ambao hawajazaa mpk wamefika 30 kuja kushtuka kumbe sababu ni wagumba sio maamuzi!
Yaani lazima utapata stress tu, kubali au kataa.Au parents day shuleni inabidi waende Baba na mama sasa imagine shule ya boarding huko mbali inabidi wakae siku mbili au tatu
Sio wote mkuu bana nasisitiza, kuna watu wako 25-30 na hawana watoto ni basi tu wameamua kutulia na kukutana na wenzi sahihi wa maisha.Huu ni mtihani. Chini ya 25 wako wengi ila ni suicide, over 25 kama hajaolewa ana mtoto.
kuanzia kwenye mhusiano visa kwa kwnda mbele.Hahaaaaa kweli aisee kuna rafiki angu mmoja huniletea mashtaka kila siku yule binti ana 22 yaani visa vya ajabu ajabu mpaka najiuliza aahh hivi alilazimishwa kuolewa au nini??
Acha tu mkuu yaani tabu tupu kuna kipindi jamaa alitaka kuahirisha wakati vikao vimepamba moto maana dogo ni pasua kichwakuanzia kwenye mhusiano visa kwa kwnda mbele.
Anhaa kumbe bado nipo kwenye junior level. Basi Sawa ngoja tuone36yrs
Acha uwoga wewe 36yrs!!!! kula maisha mpaja 4036yrs
Kwani wewe una miaka mingapi tuanzie apo mpaka useme umechelewaKwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Kwa apa mjini. Maliza ujana chukua mke ukiwa na miaka 40. Lakini Kama kijijini miaka 30 ndio mizuriAcha uwoga wewe 36yrs!!!! kula maisha mpaja 40
hahahahahMention them so that we can be sure that ur not talking about ghosts!!!!
Kweli naona under 25 wanakandamizwaHeheheh huu uzi leo unabariki single mothers na wanawake zaidi ya miaka 30 kuwa ndo wife material
Huku ukikandia watoto wenye under 25 hahahahhaha
Mwanaume akiwa anaelekea desperate age ni kashersheeeeeee
Endeleeni kuchagua jmn lol






HahaMimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?
2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.
************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums