Unasema ?
Shikamoo kaka.Unasema ?
Mm ni victim wa item 3. Its a challenge...Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Bob mm nimevuta niko at 39 na Mungu akanibariki with twin boyz at 40.Mimi naona mipango yangu ya kuoa tena imeanza kufikia kikomo
Ndo hao hao ni sawa na mbwa ukaamua muita dogAisee. Nilidhani ni masharobaro
Inatupasa kushukuru uwepo wa option ya divorces. Japo huwezi iomba kabla ya miaka miwili ya ndoa(2years rule) au uombe kibali cha court cha kufail divorce kabla ya miaka 2 na ukipate.Hawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
Mimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?
2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.
************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shikamoo kaka.
Kila la kheri muugwana usiache kunialika kwenye harusi mwari akipatikanaKuchagua muhimu,huwezi kuoa kila kiumbe kisa ni cha kike.
IlliteracyLakini wote ni single mothers.
Mimi.huwa nawaza ujinga inapofika kutaka kumchukua single mamy, kwamba ina maana.huyu kafumuliwa sana mpaka kazaa?? Hamu inaisha.
Ndiyo sasa kila siku unakula nyumbani na siyo hotelini na kila siku nguo safi na zimenyooshwa kabisa kwanini tuamini hamjaoa?
Haahhaahhaah nilikuwa mdogo ndiyo sababu
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.




Vijana waliofikisha umri wa kuoa lkn hawajaoa....nimeliskia Azam TV Kuna tangazo moja la shehe wa masuala ya ndoa huwa analitumiaBarobaro ndio nini?
Mkiwa hamjapata watoto mnaringa utadhani hamuendi chooni, mkishazalishwa tu shombo zote zinakatika
Ndio akili inamkaa sawaHivi wanawake akili zinakuwa wakizaa?
Kabla ya hapo huwa utadhani hawablidiwakizaa na kuachwa wanakuwa wife material first class