Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;

A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Mmewe angejua umemkubali ksb ya huduma za unesi.
 
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
wazungu wana msemo mmoja wanasema the early the better, ila ukiona huhimili majukumu kufa bachelor ni vema kuliko kubeba mzigo usioweza
 
You missed the point.
UNAWASHAURI WASICHELEWE SANA KUOA, VIPI JE WAKIWAHI SANA???? umesoma maramibili mbili nachomaanisha au??? maybe your point was the moon and i hit the SUN
 
Mimi toka niachane na demu wangu wa chuo..chuo nilimaliza mwaka 2009 demu nimekuja kuachana mwaka 2015

Kila demu ambaye ana sifa nazotaka since 2015 lazima nikute ana mtoto

Ni demu mmoja out of six ndiye hakuwa na mtoto..na huyo si kumpenda kivile japo alinipenda saana

So nimeamua nitaoa single mother..maana nataka demu mwenye umri wa miaka kati ya 25-30

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujichimbia kaburi,tunasubiri mrejesho hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli.
Labda single mother amlee mtoto mwenyewe...

Ila Kama mkuu atamlea vizuri akapata mapenzi ya baba na mama ,then na yeye atataka kulea familia yake ya Baba na mama
Huwa wanajua kuwa huyu sio baba yangu. Na yeye atapata mtoto nje ya mahusiano rasmi akiamini yupo mwanaume atayekuja muoa na kumpenda akiwa na mtoto, kama ilivyokuwa kwa mama yake.

Trust me.....watoto hawafuati mafundisho ya maneno kwa kiwango kikubwa wanaiga na kufuata mfano wa matendo unayowaonyesha......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The same applies to women, mwanamke akishafika 35-40,tayari ashazeeka mume anaanza kutafuta michepuko ya miaka 20s

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu usijidanganye hivyo labda vijijini wanaoshinda shamba lakini mjini humu hakuna kitu kama hiyo ukimwambia mtu nina 36 anakwambia hiyo miaka ya kwako au umeazima, nenda kijijini akiwa na 36 anakaribia kuwa na wajukuu au anao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unatafuta mke unakuta ana miaka 20-22 hana mtoto akili zake sasa anataka hela ya soda,vocha na chips ukimuuliza biashara utasikia si umenipenda kila kitu ww hamu ya kuoa inaisha
Katika umri huo usimlaumu. Yupo hivyo sababu ndio anakua kiakili.

Wewe kama mwanaume ni jukumu lako kumpa ulinzi na kumguide ili apanuke kifikra akifika tu miaka 25 tayari atakomaa automatic mtazungumza lugha moja.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom