Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Kweli naona under 25 wanakandamizwa
Sijui wametumia kigezo gani kuconclude kwamba under 25 wote hawafai...
Ila hao over 25 nao imekua changamoto..Sasa hapo sijui wanaume mnataka wepi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote. Wengi bado hawajatulia. Unaweza kulinganisha mtu mwenye 22 na 28 hata mwanaume?
 
Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.

Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.

Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
Hahhhahhhahhaa..duuuh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote. Wengi bado hawajatulia. Unaweza kulinganisha mtu mwenye 22 na 28 hata mwanaume?
Lakini nyie mmeconclude kwamba wote under 25 yrs Ni wasumbufu

Nachojua usumbufu Ni tabia ya mtu,,,waweza kuwa above 25 au below 25yrs ukawa msumbufu au usiwe msumbufu,

Kwa wanaume sidhani mwanaume 22yrs anaweza kuoa na akatulia..hii Ni kwa sababu wanaume huwa mnachelewa kukua tofauti na sisi wadada
mdada 20-25 anajitambua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;

A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Ndiyo hapo anaibuka na yeyote bora kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?

2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.

************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
dunia haina usawa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.

Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.

Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
Halafu mara nyingi waume wa hivyo hupata wake wasiojua kupika , wachafu vyote vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta Class Mate Yupo Sawa Kazini Ana Watoto Kipato Safi Ila Wewe Hoi Huku Ukisema Alikuwa Kilaza Darasani. Wengine Wana Masters Hawana Hata
Mtoto, Kazi. Wengine Kusoma Hawajui Wana Watoto
Digital Generation
Unalosema kweli, ila kupata mtoto ni kudra za mwenyezi Mungu kuna watu
wameoa na kuolewa kwa wakati sahihi, lakini hawajajaliwa kupata watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi hii mambo yakuoa nishapiga chini natafta mwanamke nioige mimba nilee mtoto wangu . natulia fresh napata mwanamke mzur ila hatudumu napima akili zake naona utoto mwingi naamua kupiga chini. Nataka mtoto ila staki kuoa . ntalea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na 35+ years inabidi uoe wa 35+ years!! vinginevyo vijana watakusaidia!! Nguvu zilishapungua sana na utakuwa mteja mzuri wa waganga wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom