Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Binti mzuri wa kuoa ni miaka 22 hadi 26 haijalishi ima umri gani.

Wenye umri huo ndio wanaweza kukuzalia watoto wenye afya ..

Wanaume wengi wenye 40+ ambao hawaja oa wanakua vizuri kiasi kiuchumi. Hivyo oa msichana mrembo mzuri muishi vizuri.

Wanaume wengi wanakua waoga kuoa under 25 kama yeye ni above 40.

Uhalisia wanawake wa 22 hadi 26 wanatamani sana wapate mwanaume kuanzia 40 watulie maana mnajua kulea.

Ila kama umezaa nje tafuta mwana mama mwenzio aliye zaa. Haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaa
Mimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?

2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.

************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
28-31 sio wote wamezaa ni kweli watu huwaona umri huu ni wazee ila kiukweli ndio miaka yakutulia nakujitambua na kutulia kama umepitiliza huu umri na hujakua kuolewa ndoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti mzuri wa kuoa ni miaka 22 hadi 26 haijalishi ima umri gani.

Wenye umri huo ndio wanaweza kukuzalia watoto wenye afya ..

Wanaume wengi wenye 40+ ambao hawaja oa wanakua vizuri kiasi kiuchumi. Hivyo oa msichana mrembo mzuri muishi vizuri.

Wanaume wengi wanakua waoga kuoa under 25 kama yeye ni above 40.

Uhalisia wanawake wa 22 hadi 26 wanatamani sana wapate mwanaume kuanzia 40 watulie maana mnajua kulea.

Ila kama umezaa nje tafuta mwana mama mwenzio aliye zaa. Haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hapa kweli tabutupu
 
Kaka yangu usijidanganye hivyo labda vijijini wanaoshinda shamba lakini mjini humu hakuna kitu kama hiyo ukimwambia mtu nina 36 anakwambia hiyo miaka ya kwako au umeazima, nenda kijijini akiwa na 36 anakaribia kuwa na wajukuu au anao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaa acha ubishi,sisi Ni wanaume tunawaona nyie hamjioni,mwanamke akishazaa tu watoto wawili tu anakuwa Ni mmama tayari sio chuchu saa sita Tena pia wanawake wanazeeka mapema sana,ndo maana mwanamke akishazaa tu ndoa inaanza kuyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu usijidanganye hivyo labda vijijini wanaoshinda shamba lakini mjini humu hakuna kitu kama hiyo ukimwambia mtu nina 36 anakwambia hiyo miaka ya kwako au umeazima, nenda kijijini akiwa na 36 anakaribia kuwa na wajukuu au anao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia sisi wanaume waongo Sana nnaweza nkamkuta mmama Ana miaka 40,nikamsifia kinafiki kuwa mbona bado mzuri Kama binti wa miaka 20,namjaza upepo weeeee ili anipe papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom