Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
HapanaKumbe wewe ni Dr?
HapanaKumbe wewe ni Dr?
Hawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!36yrs + kama hujaoa mara nyingi unakuwa "pasua kichwa" sana.
1. Unachagua sana, ni ngumu kurudi nyuma kuoa below 26yrs.
2. Una uwezo wa kufanya shughuli nyingi za nyumbani hasa kujipikia, kufua etc hivyo mwanamke sio lazima sana.
3. Pressure inakuja toka kwa either wazazi au binafsi tu coz huo umri mara nyingi unatamani familia (watoto).
4. 28-35yrs ndio unatakiwa ujikite hapo, ukirudi nyuma sana utaoa watoto (possibility ya kuchapiwa itakuwa kubwa), japo kama ulivyosema ni ngumu kumpata asiyezalishwa.
Msihisahau hadi kufikia u-senior bachelor...
Hakuna jinsi kwa umri wetu wa 34yrs..inabidi tuoe single mothersHawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1.kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2.wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3.kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.36yrs + kama hujaoa mara nyingi unakuwa "pasua kichwa" sana.
1. Unachagua sana, ni ngumu kurudi nyuma kuoa below 26yrs.
2. Una uwezo wa kufanya shughuli nyingi za nyumbani hasa kujipikia, kufua etc hivyo mwanamke sio lazima sana.
3. Pressure inakuja toka kwa either wazazi au binafsi tu coz huo umri mara nyingi unatamani familia (watoto).
4. 28-35yrs ndio unatakiwa ujikite hapo, ukirudi nyuma sana utaoa watoto (possibility ya kuchapiwa itakuwa kubwa), japo kama ulivyosema ni ngumu kumpata asiyezalishwa.
Msihisahau hadi kufikia u-senior bachelor...
Wanawake wenye watoto wametulia sana lakini wengine hatuwezi kuwaoa.Hakuna jinsi kwa umri wetu wa 34yrs..inabidi tuoe single mothers
Maana range ya mademu wenye 26-30 ni nadra saana kukuta hana mtoto..so tuwe wapole..kuna single mothers wapo committed na familia..
Cha msingi mtaweka roadmap ya maadili ya kuhandle familia yenu
Ila mwanamke mwenye watoto wawili siwezi kumuoa but mwenye mtoto mmoja nitamuoa maana sisi ndio tulichelewa so tukubaliane na hali hii bila kinyongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi aoe kama anataka familia. Mfano mimi nataka nioe ili niwe na familia na sio kupata wa kunipikia au kufua kwasababu house girls wapo kibao.Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.
Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.
Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
Hivi wewe unapatikana hivi sahivi ushafikisha miaka mingapi
Lakini wote ni single mothers.Hakuna jinsi kwa umri wetu wa 34yrs..inabidi tuoe single mothers
Maana range ya mademu wenye 26-30 ni nadra saana kukuta hana mtoto..so tuwe wapole..kuna single mothers wapo committed na familia..
Cha msingi mtaweka roadmap ya maadili ya kuhandle familia yenu
Ila mwanamke mwenye watoto wawili siwezi kumuoa but mwenye mtoto mmoja nitamuoa maana sisi ndio tulichelewa so tukubaliane na hali hii bila kinyongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu,me ilififia but imefufuka baada ya kupata MTU SAHIHI 90% ingawa kuna Ka Safar kuifikia siku ya ndoa.Kwani Una age ngapi?Mimi naona mipango yangu ya kuoa tena imeanza kufikia kikomo
I can't plan to fail, am being optimistic at 36 bila ndoa NO basi kosakosa nshatambulishwa ukweni na mahari imelipwa nusu hahaaaNever say never
Kama unawaza familia hongera saana,Inabidi aoe kama anataka familia. Mfano mimi nataka nioe ili niwe na familia na sio kupata wa kunipikia au kufua kwasababu house girls wapo kibao.
Talking about sex inapatikana muda wote haiwezi kuwa kigezo cha kutafuta mke
Lakini wote ni single mothers.
Mimi.huwa nawaza ujinga inapofika kutaka kumchukua single mamy, kwamba ina maana.huyu kafumuliwa sana mpaka kazaa?? Hamu inaisha.