Strong Side
Senior Member
- Sep 17, 2019
- 186
- 302
Hivi zile asilimia walizo ziweka pale ni moja ya kigezo cha mtu kuchaguliwa kufanya usaili kama atakuwa na asilimia nyingi zaidi ya wengine au ni mbwembwe tu???
Asilimia zipi hizo mkuu?Hivi zile asilimia walizo ziweka pale ni moja ya kigezo cha mtu kuchaguliwa kufanya usaili kama atakuwa na asilimia nyingi zaidi ya wengine au ni mbwembwe tu???
Anazungumzia kwa mtu aliyepitia diploma anaweza kuondoa cheti cha degree akaacha cha diploma.Mkuu, mara ya mwisho umeingia kwenye system ya ajira portal lini!??
Mfano, nina elimu ya banking and finance kwa level ya degree, nabadilishaje kwenye system!??
Rudi tena kwenye system halafu uje uchangie tena huu uzi mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaweza kulingana lakini msifanane. naamini namna mfumo ulivyowekwa ni kozi husika au inayofanana na hiyo. matakwa ya tangazo huwekwa kwa makusudi maalumu. Kwa mfan: watu wa Engineering wanaendana katika masomo meengi lakini hawafanani katika ujuzi Industrial vs textiles engineer yapo masomo yanaendana lakini ikuja nafasi inayotaka textile huyu wa industrial yapo atakayoweza kufanya lakini sio yote. Tangazo linahitaji complete package sio half. Wangeiacha huru kungekuwa na maombi mengi ambayo hayakidhi sifa.1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.
2. Mfumo wa Ajira Portal hauruhusu mtu mwenye equivalent education ku apply hata kama tangazo litasema, kwa mfano mtu mwenye Degree ya Industrial Engineering kuna baadhi ya mambo mengi tu anaingiliana na mtu wa Mechanical Engineering lakini kama kwenye Ajira Portal imeandikwa ni Mechanical Engineering my dear yaani hata ufanyeje itakugomea, mtu wa Environmental Engineering kuna mambo anaingiliana na mtu wa Civil Engineering lakini kama haijamtaja mmoja wapo na imeandikwa tu "and equivalent" mfumo wa Ajira Portal unagoma.
Ushauri: Kuna baadhi ya kazi unakuta job description inaruhusu hata mtu mwenye fani zinazoendana kuomba hizo nafasi ombi langu kwa wahusika wajaribu kurekebisha baadhi ya mambo na pia kuzihusisha hata zile kozi zinazoendana kuweza kupata nafasi ya kuomba.
Alamsiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana unashauriwa kuedit taarifa zako zifit qualifications husika, mfano kama una digrii ukiomba kazi wanayotaka mtu wa diploma inagoma. Sasa kwa wale amboa wamepitia diploma halaf wakaenda digrii wakiomba kwa kutumia kigezo chao cha diploma wanagomewa, kwakuwa mfumo unawatambua kuwa wana elimu kubwa zaidi ya vigezo walivyoviweka.
Cha kufanya hapo kama una elimu zote mbili digrii na diploma halafu, unataka uapply kazi ya mtu wa diploma inabidi urudi kwenye taarifa zako uedit kipengele cha elimu ili usigomewe na mfumo,
Kadhalika na vipengele unavyoviona vinakukwamisha unaviedit ili mfumo usikukatae, ila angalizo usije ukavamia sifa ambazo zitaenda kukutesa kwenye usail
TAHADHARI!!!!!!
TAARIFA HII SIO RASMI, NI MBINU TU ZA KUPENYAPENYA ILI KUKIFIKIA CHUMBA CHA USAILI
Sent using Jamii Forums mobile app
.Asilimia zipi hizo mkuu?
Kuna zile asilimia unazo takiwa kuwa nazo ili kutuma maombi nazani ni kuanzia asilimia 70 ndio inakubali. Sasa hapo unakuta kuna mtu anakuwa na asilimia mpaka wengine 90 wengine 80 sabini.
Kwa hiyo nilikuwa nauliza hii inasaidia kwenye kuchaguliwa kufanya usaili kama ukiwa na asilimia kubwa kuliko mwenzako? .
Halafu kuna mtu anakwambia wanahitaji full package, hahaha sasa kwaiyo kama huyu atakuwa half package pia na kitendo cha kuongezea neno equivalent huwa wana maana gani?Ndugu yangu kasoma Finance lakini kazi ya Accounts wamekataa asi apply.....This is a JOKE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana unashauriwa kuedit taarifa zako zifit qualifications husika, mfano kama una digrii ukiomba kazi wanayotaka mtu wa diploma inagoma. Sasa kwa wale amboa wamepitia diploma halaf wakaenda digrii wakiomba kwa kutumia kigezo chao cha diploma wanagomewa, kwakuwa mfumo unawatambua kuwa wana elimu kubwa zaidi ya vigezo walivyoviweka.
Cha kufanya hapo kama una elimu zote mbili digrii na diploma halafu, unataka uapply kazi ya mtu wa diploma inabidi urudi kwenye taarifa zako uedit kipengele cha elimu ili usigomewe na mfumo,
Kadhalika na vipengele unavyoviona vinakukwamisha unaviedit ili mfumo usikukatae, ila angalizo usije ukavamia sifa ambazo zitaenda kukutesa kwenye usail
TAHADHARI!!!!!!
TAARIFA HII SIO RASMI, NI MBINU TU ZA KUPENYAPENYA ILI KUKIFIKIA CHUMBA CHA USAILI
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeupdate baada ya kukutana na shida hii, hicho kipengele nilikuwa sijakiona. Hata hivyo bado kuna mapungufu ya hapa na pale kwenye zile categories walizowekaKijana ume update academic qualifications! Maana wamefanya mabadiliko hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
yes kama wiki mbili zilizopita nilikua naaply ikataka ni update details na moja wapo ilikua ni nida, kitambulisho cha nida ninacho ila nilikua kila nikiweka namba haiupdate nikaachana nayo..
Na matikitiLands wanataka ujiajiri kwenye kilimo cha mapapai kama mzee wetu wa Msoga
Duh ndugu yang yaan hata siwaelewi wanamaanisha niniAu ni vile vya vyeti kwa watu waliosoma nje ya nchi ambavyo vinatakiwa viwe verified na TCU?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinabadilishwa kijana, chukua muda, durusu vizuri pale kwenye job category,Mkuu, mara ya mwisho umeingia kwenye system ya ajira portal lini!??
Mfano, nina elimu ya banking and finance kwa level ya degree, nabadilishaje kwenye system!??
Rudi tena kwenye system halafu uje uchangie tena huu uzi mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo n kama umepata kazi ambayo ni tofauti na sifa ulizonazo, mfano wewe n mhasibu umerukia kaz ya afisa misituNadhani bado haitakusasidia kwa kuwa unapoingia katika utumishi wa umma ukigundulika ulidanganya kipindi cha kuomba kazi hatua dhidi yako zinaweza kuchukuliwa.. nilijulishwa na mdau mmoja wa kazi.
Zinabadilishwa kijana, chukua muda, durusu vizuri pale kwenye job category,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hujanielewa.. ninachomaanisha.. nimesoma banking and finance, post inamtaka mtu wa banking and accounting... nabadilishaje!???
Ndo maana mtoa mada amesema hata kama una sifa za hiyo kazi, lakini kipengele cha kozi uliyosomea kinakutoa nje ya kinyang'anyiro..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki apa 0769452791 whatsap kuna ishu tujadiliNadhani hujanielewa.. ninachomaanisha.. nimesoma banking and finance, post inamtaka mtu wa banking and accounting... nabadilishaje!???
Ndo maana mtoa mada amesema hata kama una sifa za hiyo kazi, lakini kipengele cha kozi uliyosomea kinakutoa nje ya kinyang'anyiro..
Sent using Jamii Forums mobile app
We bora haujaitwa! Kuandika tu hujuiUpo sahihi sana mkuu hata mimi nimeshindwa leo kufanya application kwa sababu hiyo na wakati wameandika equvailent
Sent using Jamii Forums mobile app