Ajira Portal watu wa BCOM Finance mmetusahau

Jitsu

Senior Member
Nov 6, 2018
194
183
Tafadharini jamani wahusika wa hili swala(Ajira portal)najua wahusika mko hapa na mnatatua shida zinazolalamikiwa kwenye hili jukwaa,NAWAPONGEZA KWA HILO

issue kubwa hapa ni sie wenye bachelor ya finance kutokukumbukwa kwenye kazi zote za account officer, auditing na hata financial management officer

Kama hii ya financial management officer mmetusahau sisi wa finance na mmeweka watu wa LLB

Ajira portal, mtu mwenye bachelor of commerce in Finance anafanya majukumu yote ya account na Ana vigezo vinavyotambulika duniani kote vya kufanya kazi za uhasibu

Nawaomba jamani mturekebishie system ya ajira Portal ituruhusu tuweze kuapply nafazi hizi

Natumaini kuona positive response kutoka kwenu Kama ambavyo mmekuwa mkionesha kwa malalamiko yote

Ahsante!!
 
katibu@ajira.go.tz.. watumie ujumbe kuwaeleza shida zako.., ikiwezekana uwatukane kabxaa.. maana wanachokifanya ni kula mshahara tu.
Hapo lazima ujumbe uwafikie
 
Tafadharini jamani wahusika wa hili swala(Ajira portal)najua wahusika mko hapa na mnatatua shida zinazolalamikiwa kwenye hili jukwaa,NAWAPONGEZA KWA HILO

issue kubwa hapa ni sie wenye bachelor ya finance kutokukumbukwa kwenye kazi zote za account officer, auditing na hata financial management officer

Kama hii ya financial management officer mmetusahau sisi wa finance na mmeweka watu wa LLB

Ajira portal, mtu mwenye bachelor of commerce in Finance anafanya majukumu yote ya account na Ana vigezo vinavyotambulika duniani kote vya kufanya kazi za uhasibu

Nawaomba jamani mturekebishie system ya ajira Portal ituruhusu tuweze kuapply nafazi hizi

Natumaini kuona positive response kutoka kwenu Kama ambavyo mmekuwa mkionesha kwa malalamiko yote

Ahsante!!
Hizi Ni changamoto haswa .....tunawaomba watatue aisee zinatukozesha amani ya kufanya maandalizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom