Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.
2. Mfumo wa Ajira Portal hauruhusu mtu mwenye equivalent education ku apply hata kama tangazo litasema, kwa mfano mtu mwenye Degree ya Industrial Engineering kuna baadhi ya mambo mengi tu anaingiliana na mtu wa Mechanical Engineering lakini kama kwenye Ajira Portal imeandikwa ni Mechanical Engineering my dear yaani hata ufanyeje itakugomea, mtu wa Environmental Engineering kuna mambo anaingiliana na mtu wa Civil Engineering lakini kama haijamtaja mmoja wapo na imeandikwa tu "and equivalent" mfumo wa Ajira Portal unagoma.
Ushauri: Kuna baadhi ya kazi unakuta job description inaruhusu hata mtu mwenye fani zinazoendana kuomba hizo nafasi ombi langu kwa wahusika wajaribu kurekebisha baadhi ya mambo na pia kuzihusisha hata zile kozi zinazoendana kuweza kupata nafasi ya kuomba.
Alamsiki.
======