Changamoto za Ajira Portal

kwenye ku confirm email, inabidi nifungue wapi tena? au niende tena gmail ili niingize hiyo email mpya?
Kama email uliyofungulia Ni Gmail ingia kwenye email yako hiyo utakuta Kuna ujumbe kutoka AJIRA PORTAL unakuambia confirm unabonyeza itakuwa umemaliza.

Ukirudi portal inakuwa tayari weka email na password then endeleea na maelekezo mengine.
 
Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
 
Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Jaza fields zote zilizopo pale, asilimia zitaanza kupanda taratibu...Tuma picha kwa msaada zaidi!
 
Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60

Academic ndio inaongeza marks ukiweka number na cheti cha form 4 itapanda sana ,vile vile NIN ,cheti cha kuzaliwa
 
Wadau naomba msaada namna ya kufanya application ajira portal maana nimefanya imekomea asilimia 60
Bado jaza taarifa zakutosha ufike hata 88% alafu tumia Tab au Computer itakuwa rahisi sana usijaze kwa simu.
 
Bado jaza taarifa zakutosha ufike hata 88% alafu tumia Tab au Computer itakuwa rahisi sana usijaze kwa simu.

Anaweza kutumia simu ila akaweka option ya Desktop muonekano na ufanisi unakuwa kama unatumia computer kiongozi.
 
Habari za leo...
Naomben msaada nimetuma maombi ajira portal lakin Kuna mistake imetokea,,wakati naweka verification certificate haijakaa sehemu husika yaani(seve verification certificate), Ila imeenda kukaver sehemu ya academic certificate nimejaribu kufuta system inagoma kwa anaeweza anisaidie tafadhari.
 
Kwa mfano Ajira portal wametaja Bachelor degree in Biomedical Engineering lakini mimi nina Bachelor degree in biomedical and Electrical Engineering, je hapa system ya ajira itaweza kunikubalia?

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Hapana haiwezekani kuvitoa..unaweza kuongeza tu lakini sio kuvitoa
 
Hivi zile asilimia walizo ziweka pale ni moja ya kigezo cha mtu kuchaguliwa kufanya usaili kama atakuwa na asilimia nyingi zaidi ya wengine au ni mbwembwe tu???
Yah iko hivyo, mwenye asilimia nyingi ana nafasi kubwa ya kuitwa, especially kuanzia 80 kwenda juu. So jitahidi kujaza taarifa zako ili uwe na asilimia za kutosha, pia usisahau kusaini Application letter yako
 
Ni wazo zuri hasa hilo namba 1.
Hiyo itasaidia kupunguzia watu maswali na itaongeza uaminifu katika mchakato wa ajira.
Lakini hilo wazo namba 2 ni gumu sana kutekelezeka.
Ni ngumu sana kumpa mtu kazi kwa kuzingatia skills bila level ya elimu kwa sababu hyo itafungua mianya ya upendeleo na bado lawama zitaongezeka watu hawatoamini kwamba huyo mtu aliyechaguliwa kwa skills ni kweli alikidhi vigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…