Wakati huo mjukuu yupo Darasa la Saba!Na mkeo ana Umri gan? Kama mkwe ana 48
Nadhani wana maagano ya kishetaniWana lao jambo mama na mwana ukila tu kukuna mayai yake ni laana ,pili ,ndoa imekufa hapo umewekewa mtego mkubwa
Nilimuuliza hilo swali, kuondoa migogoro na Mimi namleta nyumbani mama yangu mzaziKuwa mwanaume bwana😬 kwani yeye huko anachungwa nanani?
DivilsUna mke na mkwe wazungu
Kawaida uchagganiMke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto Yuko darasa la saba hivyo kwa kiasi fulani anaweza kujisimamia.
Tangu mke wangu amekndoka huyu mkwe amekuwa kama kiranja, ikifika tu saa kumi na moja anapiga simu uko wapi? Usichelewe kurudi.
Ikifika saa tatu hujarudi anaanza kukusumbua na simu.
Nikaongea na wife, nikamweleza kuwa mama arudi tu nyumbani, ameacha mji wake na hapa hamna cha muhimu anachofanya na pia sipendi anavyonibugudhi kwa kunichunga.
Wife akasema mama yupo kwa ajili ya ulinzi, nikastaajabu kidogo, mbona mlinzi tunaye? Au ndio kunilinda mimi?
Nikayeyusha.
Sasa jana ijumaa nimerudi kazini nikaoga Kisha nikawa najiandaa kwa ajili ya kutoka nikalambe gambe kidogo.
Mkwe akaniita, akauliza unaenda wapi? Nikamwambia naenda 777 nikafurahie weekend, akasema twende wote. Sikuona ubaya, tukaongozana.
Tukala na kunywa na kunywa zaidi. Ila kadiri muda unavyokwenda nikaona mama mkwe ananyegeka, mara anisogelee, anishike kimahaba na utata mwingi.
Akaomba nimsindikize chooni, yaani alikuwa anajibebisha utadhani mwanamke wangu.
Tukarudi nyumbani, akiwa amelewa taabani, akawa analazimisha aje kulala chumbani kwangu.
Kesho yake asubuhi (Jana jumamosi) wife akanipigia simu, akiulizia outing ilikuwaje?
Nikamsimulia kila kitu, akasema nimsikilize mama yake atakachoniambia, maana ni bora nitembee na mama yake kuliko michepuko na hilo ndio kusudi haswa la huyu mama kuwepo hapo.
Umri wa mama Ni 48yrs.
Hi changamoto naishindaje?
Siendekezi ujinga wao, leo nitamweka chini huyu mama na kumuomba aondoke kwanguKawaida uchaggani
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto Yuko darasa la saba hivyo kwa kiasi fulani anaweza kujisimamia.
Tangu mke wangu amekndoka huyu mkwe amekuwa kama kiranja, ikifika tu saa kumi na moja anapiga simu uko wapi? Usichelewe kurudi.
Ikifika saa tatu hujarudi anaanza kukusumbua na simu.
Nikaongea na wife, nikamweleza kuwa mama arudi tu nyumbani, ameacha mji wake na hapa hamna cha muhimu anachofanya na pia sipendi anavyonibugudhi kwa kunichunga.
Wife akasema mama yupo kwa ajili ya ulinzi, nikastaajabu kidogo, mbona mlinzi tunaye? Au ndio kunilinda mimi?
Nikayeyusha.
Sasa jana ijumaa nimerudi kazini nikaoga Kisha nikawa najiandaa kwa ajili ya kutoka nikalambe gambe kidogo.
Mkwe akaniita, akauliza unaenda wapi? Nikamwambia naenda 777 nikafurahie weekend, akasema twende wote. Sikuona ubaya, tukaongozana.
Tukala na kunywa na kunywa zaidi. Ila kadiri muda unavyokwenda nikaona mama mkwe ananyegeka, mara anisogelee, anishike kimahaba na utata mwingi.
Akaomba nimsindikize chooni, yaani alikuwa anajibebisha utadhani mwanamke wangu.
Tukarudi nyumbani, akiwa amelewa taabani, akawa analazimisha aje kulala chumbani kwangu.
Kesho yake asubuhi (Jana jumamosi) wife akanipigia simu, akiulizia outing ilikuwaje?
Nikamsimulia kila kitu, akasema nimsikilize mama yake atakachoniambia, maana ni bora nitembee na mama yake kuliko michepuko na hilo ndio kusudi haswa la huyu mama kuwepo hapo.
Umri wa mama Ni 48yrs.
Hi changamoto naishindaje?
Shetani ana nguvu aisee, hata Sasa Nina jibapaHii ni chai ya moto.
Wewe juzi ulisema hutakunywa pombe mpk kipindi cha maombolezo kiishe.
Usimfukuze Mkuu, Mtafune tu...tena umeshapewa rukhsa..... Mtafune vizuri kabisa....Ili hata Mkeo akirudi, wawe wanabadilishana tu, kwa zamu. Mama akiingia MP, unakula mtoto, mtoto akiingia MP, unakula Mama.Siendekezi ujinga wao, leo nitamweka chini huyu mama na kumuomba aondoke kwangu
Kula tu ni watamu ajabu zaidi ya binti yakeSiendekezi ujinga wao, leo nitamweka chini huyu mama na kumuomba aondoke kwangu
Huo mpango umesukwa kisawasawa, ukijichanganya tu mkuu huo mji utawaachia, haujiulizi ni mwanamke gani anakubali kushare mume wake na mama yake mzazi, akili kumkichwa bro.Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.