Changamoto mbalimbali za maisha ya ndoa. Hii ni changamoto inayonikabili, karibu na wewe utueleze yako tuzitatue

Daah nahisi watukua wanasagana maana mara nyingi wanawake wanaosagana ndo tabia zao afu mkuu shutka kama mama mkwe anatabia kujirahisisha hivyo bila haya ina uwezokano mkubwa huyo mke wako anatabia hizo au siku za uzee wako anaweza kufanya jambo hilo
 
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto Yuko darasa la saba hivyo kwa kiasi fulani anaweza kujisimamia.

Tangu mke wangu amekndoka huyu mkwe amekuwa kama kiranja, ikifika tu saa kumi na moja anapiga simu uko wapi? Usichelewe kurudi.
Ikifika saa tatu hujarudi anaanza kukusumbua na simu.

Nikaongea na wife, nikamweleza kuwa mama arudi tu nyumbani, ameacha mji wake na hapa hamna cha muhimu anachofanya na pia sipendi anavyonibugudhi kwa kunichunga.

Wife akasema mama yupo kwa ajili ya ulinzi, nikastaajabu kidogo, mbona mlinzi tunaye? Au ndio kunilinda mimi?
Nikayeyusha.
Sasa jana ijumaa nimerudi kazini nikaoga Kisha nikawa najiandaa kwa ajili ya kutoka nikalambe gambe kidogo.

Mkwe akaniita, akauliza unaenda wapi? Nikamwambia naenda 777 nikafurahie weekend, akasema twende wote. Sikuona ubaya, tukaongozana.

Tukala na kunywa na kunywa zaidi. Ila kadiri muda unavyokwenda nikaona mama mkwe ananyegeka, mara anisogelee, anishike kimahaba na utata mwingi.

Akaomba nimsindikize chooni, yaani alikuwa anajibebisha utadhani mwanamke wangu.
Tukarudi nyumbani, akiwa amelewa taabani, akawa analazimisha aje kulala chumbani kwangu.

Kesho yake asubuhi (Jana jumamosi) wife akanipigia simu, akiulizia outing ilikuwaje?
Nikamsimulia kila kitu, akasema nimsikilize mama yake atakachoniambia, maana ni bora nitembee na mama yake kuliko michepuko na hilo ndio kusudi haswa la huyu mama kuwepo hapo.
Umri wa mama Ni 48yrs.

Hi changamoto naishindaje?
Kawaida uchaggani
 
Man down..! I repeat, man down..!
All units. Team Alpha, team beta, team delta do you copy? Please respond ASAP.!!😆
 
Hii ni chai ya moto.
Wewe juzi ulisema hutakunywa pombe mpk kipindi cha maombolezo kiishe.
 
Siendekezi ujinga wao, leo nitamweka chini huyu mama na kumuomba aondoke kwangu
Usimfukuze Mkuu, Mtafune tu...tena umeshapewa rukhsa..... Mtafune vizuri kabisa....Ili hata Mkeo akirudi, wawe wanabadilishana tu, kwa zamu. Mama akiingia MP, unakula mtoto, mtoto akiingia MP, unakula Mama.
 
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto Yuko darasa la saba hivyo kwa kiasi fulani anaweza kujisimamia.

Tangu mke wangu amekndoka huyu mkwe amekuwa kama kiranja, ikifika tu saa kumi na moja anapiga simu uko wapi? Usichelewe kurudi.
Ikifika saa tatu hujarudi anaanza kukusumbua na simu.

Nikaongea na wife, nikamweleza kuwa mama arudi tu nyumbani, ameacha mji wake na hapa hamna cha muhimu anachofanya na pia sipendi anavyonibugudhi kwa kunichunga.

Wife akasema mama yupo kwa ajili ya ulinzi, nikastaajabu kidogo, mbona mlinzi tunaye? Au ndio kunilinda mimi?
Nikayeyusha.
Sasa jana ijumaa nimerudi kazini nikaoga Kisha nikawa najiandaa kwa ajili ya kutoka nikalambe gambe kidogo.

Mkwe akaniita, akauliza unaenda wapi? Nikamwambia naenda 777 nikafurahie weekend, akasema twende wote. Sikuona ubaya, tukaongozana.

Tukala na kunywa na kunywa zaidi. Ila kadiri muda unavyokwenda nikaona mama mkwe ananyegeka, mara anisogelee, anishike kimahaba na utata mwingi.

Akaomba nimsindikize chooni, yaani alikuwa anajibebisha utadhani mwanamke wangu.
Tukarudi nyumbani, akiwa amelewa taabani, akawa analazimisha aje kulala chumbani kwangu.

Kesho yake asubuhi (Jana jumamosi) wife akanipigia simu, akiulizia outing ilikuwaje?
Nikamsimulia kila kitu, akasema nimsikilize mama yake atakachoniambia, maana ni bora nitembee na mama yake kuliko michepuko na hilo ndio kusudi haswa la huyu mama kuwepo hapo.
Umri wa mama Ni 48yrs.

Hi changamoto naishindaje?
Huo mpango umesukwa kisawasawa, ukijichanganya tu mkuu huo mji utawaachia, haujiulizi ni mwanamke gani anakubali kushare mume wake na mama yake mzazi, akili kumkichwa bro.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom