Kosa kubwa ulilofanya ni kumlewesha mama mkwe, si unajua pombe sio chai, na kama sio hiyo pombe asingethubutu kulala chumba chako ila ushauri wangu usifanye hochote muone kama mamako mzazi.Yaani aisee, mpaka nimelileta hapa ujue limenizidia. Na mimi nataka nimlete mama yangu nyumbani tuone kama wataendelea na upumbavu wao