Bwashee watu wamefilisika na kufunga Mabar na maGuest, Hard ware na Mahotel
wewe unauliza Mabasi
Kila kitu unalipia kabla ya kuliweka Bus barabarani bado LATRA inataka uweke advance katika mfumo huo wakati abiria ni wa kugombania.
Biasahara ya usafiri ni ngumu kuliko zote hebu anza na Baiskeli au Bodaboda tu uone watakavyo kuvamia hao LATRA
acheni wagome, Abiria wanalazimishwa kufuata mabasi Stand kuu kushushwa ni hivyo hivyo, changamoto ni nyingi