Source07
Senior Member
- Oct 5, 2018
- 196
- 352
Samahani mkuu naomba kukuuliza... hivi hapo uliposema "18k" hiyo 'k' Ni abbreviation ya Nini...je inasimamia Laki(k)..Elfu na Kama Ni Elfu mbona kwenye Elfu hakuna 'K'..au inamaanisha Kenyan shilling"K"..au inamaanisha Tsh?... naomba kujua "K" Ni ufupisho wa Nini!!na Nini kirefuchake??Alafu na nyie TABOA mambo ya kusimama sehemu ambazo chakula ni ghali muache kenge nyie yaaani chips na upaja wakuku na Pepsi unaambiwa jumla 18k aisee endeleni kuringa siku SGR ikienea mikoa yote mtakula jeuri yenu