Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Vyuma vikikaza hupelekea uwendazimu.Ndugu huwezi kuongelea mikoa hiyo bila data.Inawezekana umesoma memkwa.Chalinze zaidi ya kuuza machungwa kuna nini? kigoma kuna kahawa ambalo ni zao la biashara, michikichi nalo zao la biashara,hakuna mkoa wowote unaozalisha chikichi kuzidi kigoma,mkoa wa Kigoma unaongoza kwa kuzalisha Tangawizi, Dagaa bora kabisa barani Afrika, boda ya Burundi na Rwanda kigoma inaongoza kwa kuzalisha maharage ikifuatiw na Kagera na mbeya(BBC analysis).Ubora wa Chalinze ni njia panda ya barabara ya kask na nyanda za juu kusini.Kigoma hutoa wafanyakazi bora baada ya wasukuma tofauti na wakwere na wazaramo ambao hawana afya kwa kukosa lishe bora(mihogo ya kuchemsha na mchele robo) sisi wakigoma.Ugali wa muhogo, mahindi, samaki, dagaa, ndizi, magimb, maparachichi(tunalima wenyewe) nk.kUkienda masoko yetu unajizolea unachotak kwa bei bureee sawa na bukoba na mbeya huko chalinze ni njaa tu.
Ume conclude mjadala umefungwa
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Chalinze muda si mrefu sana itakuwa ni Manispaa kama kasi ikienda kama ilivyo sasa hivi
 
Stand haijengwi na watu binafsi! Halafu hiyo stand ilibidi ijengwe ila sababu za kisiasa zilikwamisha huo mpango. Wasomi wana fanya maendeleo yao, wewe ingia mtaani au vijijini uone maendeleo ya mtu mmoja mmoja! BK nyumba ya udongo unaitafuta kwa torch, bati za kisasa. Karibu BK december hii wasomi tutakua likizo na ma prado yetu
Hii ni sawa na kusema self container lakini choo cha shimo, sawa mkuu ntakaribia ila usomi wa kujisifia maprado hauna tija mkuu
 
Nadhani umeangalia mji wa Bukoba na baadhi ya mahoteli machache niliyokuwekea na uniambie Chalinze yako ina lipi la kujivunia na kuipita miji uliyotaja
Mkuu mimi sio wa chalinze ila najadili hoja ilioko mezani, bukoba kuna hotel angalau ya nyota 3
 
Mkuu mimi sio wa chalinze ila najadili hoja ilioko mezani, bukoba kuna hotel angalau ya nyota 3
Hii hotel ina nyota tano ipo bukoba
unnamed.jpeg
IMG-20180515-WA0022.jpeg
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Labda chalinze ya kipindi cha JK.
Hii chalinze ya sasa imepauka kinoma. Nilipita hapo miezi kadhaa na nililala nikisubiri connection ya bus kesho yake nikajikuta nikiulilia mji kwa jinsi ulivyorudi nyuma kasi.
 
Back
Top Bottom