Ngoja mlipwe kwanza ela ya korosho ndio niwatoeMtwara itoe iweke kibaha
Kumbe unapita tu ? Siku moja shuka utembelee viunga vya Chalinze ushuhudie uchumi imara wa Chalinze😂 😂 😂 😂 siku hizi bangi Kama matembele tu. I Yaan chalinze uifananishe na makao makuu ya mikoa tajwa hapo juu, daah.
pale Chalinze si bush kabisa. kila siku napita pale, kijijini ndani kabisa
Ni ayo uliyoyataja pamoja na mengine zaidi.Majengo yapi?
Mzunguko wa pesa unamaanisha pesa ya Wale wauza korosho na mananasi pale barabarani njia Panda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha.Leo kwa bahati napita Chalinze hapa. Yaani kijiji hiki ndiyo ufanankshe na Mtwar
Umemaanisha korogwe ya Tanga mkuuMtoa mada ni ama hajatembea au kaamua kwa makusudi ili kuanzisha debate. Yaani kweli mtu na akili zake,anaweza kufananisha Chalinze na Mtwara? Tena mtu timamu kabisa! Chalinze hadhi yake ni Mji mdogo wa Nanyamba,Mahuta,Ikwiriri(tena Ikwiriri iko vizuri zaidi),Mlandizi,Dumila,Gairo,Ilula nk. Siyo tu haina ubavu hata robo kupambana na Mtwara bali hata Masasi,kwa sababu Masasi hupambana na Njombe,Korogwe,Bunda,Tarime,Nzega na hata Kahama au Geita.
Mtwara sasa inakula sahani moja na Moshi,Morogoro,Iringa nk.
Wahaya hawana pesaUnaongea sehemu unazozifahamu Tu .tembea uone mkuu husisikilize maneno ya watu . bukoba haiko nyuma huseme watu wanawatukana wahaya maana walivyo kifedha na kiakili bukoba inabidi ifanane Dubai
Dar yenyewe biashara zinakufa, inategemea ulitega biashara gani, na eneo gani la kufanyia hiyo biashara.Ndiyo maana nikaomba nionyeshwe bila ushabiki
Wahaya hawana pesa

halafu ndo wanajaza ndege Kila siku kwenda bukoba.Wanaoenda bukoba wengi ni wachagga ..wahaya wengi bado ushamba mwingi ndege hawapandi kabisa.halafu ndo wanajaza ndege Kila siku kwenda bukoba.
Hebu tazama umuhimu wa miji iliyoyajwa na bukoba airport.
Pesa ya nauli tu na kwa mwaka ni zaidi ya abiria 60000 .View attachment 1822949
Siku hizi wachagga hawaendi kwao Moshi wanaenda BukobaWanaoenda bukoba wengi ni wachagga ..wahaya wengi bado ushamba mwingi ndege hawapandi kabisa.



Unajua mambo mengine ni kama ya kwenye sinema au tamthilia, ona huyu naye sijui ametumia vigezo gani kufikia hitimisho hili! Wizara ya TAMISEMI wana vigezo na viwango vya kisayansi kufikia nini kiwe wapi na nini kiitew nini! Kwa vigezo hivyo, ndiyo maana Chalinze bado ni Mji Mdogo, siyi Mji! Haujafikia huko; zile fujo za magari na mlundikano wa watu siyo kigezo kimojawapo cha TAMISEMI!Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Mkuu inaonekana umeishi chalinze na unaijua vemachalinze hii hii ya
chamakweza
Vigwaza
buyuni
mbala
pingo
mdaula
msata
msogaMkuuu
mbogaMku
matipwilii
mionoo
ruvuu
hapanaa siafikii
maji tuu ya tabuu wakwavi wanaojiita wamasaii na wakwere wanashea maji na wanyama
hata miundo mbinuu hamna kituu
Chalinze pazuri labda ni hapo hapo njia pandaaa
hahahahaha naipata pataaMkuu inaonekana umeishi chalinze na unaijua vema