Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Sehemu gani isiyo na mzunguko wa hela mpaka safari za ndege zinaongezwa? Ona hii habari uone kwamba hii bukoba sio ya mchezoView attachment 949349
Watu wengi wa kagera wanapenda mabasi na sio ndege,mara kumi wangongeza njia ya KIA kwa wachaga msimu wa sikukuu wangevuna sana.
 
Watu wengi wa kagera wanapenda mabasi na sio ndege,mara kumi wangongeza njia ya KIA kwa wachaga msimu wa sikukuu wangevuna sana.
Acha uongo nenda kabook ticket yako Kwa safari ya kesho uone kama utapata nafasi .na juzi waziri amesema uwanja wa bukoba utapanuliwa Kwanza airport yenyewe ya tatu Kwa jengo la wasafiri kwanza
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Mkuu ili uweze kujenga hoja yako no lazinna ujue we vigezo vinavyotumika katika kupata jiji,municipal,mji,Hal ashauri,na karhalu.
Sasa basi,Shinyanga ni municipal,Kigona ni Municipal,Lindi ni municipal,Mtwara ni municipal,Singida ni municipal,Kagera(Bukoba) ni municipal,Simiyu Bariadi ni Mji,Chalize ni halmashauri ya wilaya.
Kwa maelezo yaho kwa maelezo yo yote Chalinze bado saaàaaaaaaana.kufikia miji na municipal anazozikandia.
Ukutoka kwenye hadhi ya municipal unakuwa jiji.
 
Biashara ipi hiyo ya kuifanya Chalinze kuwa juu ?!
Hawezi kukutajia,ajuacho kuuza korosho zile za Tsh 500,1000 na 2000 kwa packet,zile nazi,mananasi yale ya sokoni na vitu vya asili kama mbuzi ya kukunia nazi zinazouzwa pembezoni mwa barabara ndiyo mzunguko wa pesa. Jamaa anachekesha sana. Akikutajia shughuli 5 za uchumi(siyo za uchuuzi), naomba unitag!
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Acha utani, Chalinze hata hadhi ya Halmashauri ya Mji hawana, unawezaje kufananisha na Halmashauri za Miji na Manispaa ulizozitaja?

Vv
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Hivi chalinze mjini pakoje? Ndio pale njia panda?
 
Achana na huyo kenge wa kikwere ushamba umemzidi....,
Majengo yote ayo ni kama magofu,yanini kujenga hotel kubwa wakati hakuna wateja wa kulala , mara kumi ata Chalinze wanauza mananasi mabilioni ya fedha yanaingia kila mwezi.
 
Acha utani, Chalinze hata hadhi ya Halmashauri ya Mji hawana, unawezaje kufananisha na Halmashauri za Miji na Manispaa ulizozitaja?

Vv
labda haujaelewa, pamoja na hadhi ndogo iyo ya chalinze,ila mzunguko wa fedha ni mkubwa sana kuzidi miji niliyoitaja,sasa wengien wanaleta mapicha ya mahotel humu ya uko Bukoba wakati hotel zenyewe kwa mwezi zinaingiza laki 8.
 
Hamna jiwe gizani zaidi ya kutukutembea kuona mikoa uliyoitaja na kufananisha na swekeni kama la Chalinze.
location ya chalinze inaibeba sana kuwa na mzunguko wa fedha wa maana ,mikoa mingi kama Bukoba na Mara wenyeji wengi wameikimbia na hawapendi kuendeleza mikoa ya nyumbani kwao.
 
Vyuma vikikaza hupelekea uwendazimu.Ndugu huwezi kuongelea mikoa hiyo bila data.Inawezekana umesoma memkwa.Chalinze zaidi ya kuuza machungwa kuna nini? kigoma kuna kahawa ambalo ni zao la biashara, michikichi nalo zao la biashara,hakuna mkoa wowote unaozalisha chikichi kuzidi kigoma,mkoa wa Kigoma unaongoza kwa kuzalisha Tangawizi, Dagaa bora kabisa barani Afrika, boda ya Burundi na Rwanda kigoma inaongoza kwa kuzalisha maharage ikifuatiw na Kagera na mbeya(BBC analysis).Ubora wa Chalinze ni njia panda ya barabara ya kask na nyanda za juu kusini.Kigoma hutoa wafanyakazi bora baada ya wasukuma tofauti na wakwere na wazaramo ambao hawana afya kwa kukosa lishe bora(mihogo ya kuchemsha na mchele robo) sisi wakigoma.Ugali wa muhogo, mahindi, samaki, dagaa, ndizi, magimb, maparachichi(tunalima wenyewe) nk.kUkienda masoko yetu unajizolea unachotak kwa bei bureee sawa na bukoba na mbeya huko chalinze ni njaa tu.
 
Unaijua Simiyu Bariadi au unaisikiaga tuu wee jamaa fanya utafiti umekurupuka
 
Back
Top Bottom