- Thread starter
- #21
Hakuna cha ushabikiUmeandika kushabiki...,
Hakuna cha ushabikiUmeandika kushabiki...,
Sheria ya takwimu inakataza. Sijui umetumia logic ipi ?! Lakini umeishusha sana mikoa yetu.Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kighoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani





Ndiyo itakuwa imezidiwa (jiwe gizani)Kwahiyo ikiizidi
Ruksa kuja na orodha yakoSheria ya takwimu inakataza. Sijui umetumia logic ipi ?! Lakini umeishusha sana mikoa yetu.
Nakata rufaa rudia upya mchanganuo upya sikubali![]()
Chattle kuna mambo mazitoBora hujaigusa Chattle
Nimeshafika,ila apa nimeongelea makao makuu ya mkoa ambayo yapo Shinyanga mjini.Nisome tena upya.Ulishafika wilaya ya kahama mkoani shinyanga?
Sasa ni saa 4 kasoro usiku,
CCM tunawakumbusha na kuwaomba wapiga kura wetu wote msisahau kuweka Net kuzuia Mbu-Malaria-Kifo, baada ya 2020 ruhusa hata ukitaka kulala kwenye karavati.
OKNimeshafika,ila apa nimeongelea makao makuu ya mkoa ambayo yapo Shinyanga mjini.Nisome tena upya.
Chalinze nailinganisha na Sirari wala si Tarime achilia mbali Musoma.Ruksa kuja na orodha yako
Dah, hii ni comment ya kufungia mwakaSasa ni saa 4 kasoro usiku,
CCM tunawakumbusha na kuwaomba wapiga kura wetu wote msisahau kuweka Net kuzuia Mbu-Malaria-Kifo, baada ya 2020 ruhusa hata ukitaka kulala kwenye karavati.
Mi nimeongelea makao makuu ya mikoa ,ndio maana nimeitaja Musoma na wala sijailinganisha Chalinze na Tarime au Sirari.Chalinze nailinganisha na Sirari wala si Tarime achilia mbali Musoma.
Kwa Shinyanga umewaonea sana hata wilaya tu ya Kahama , chalinze haisogezi pua. Hata kwa watani za Bukoba usiwashushe thamani namna hiyo !! Wamesoma
We andazi kweli unaijua singida au unaisikia. Makao makuu siyo issue kikubwa upatikanaji wa fursa mkoawide.Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
kwa maana hiyo.chalinze imeipita hadi makao makuu ya mkoa Kibaha?Mi nimeongelea makao makuu ya mikoa ,ndio maana nimeitaja Musoma na wala sijailinganisha Chalinze na Tarime au Sirari.