Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
namba 2 ipo nyakimwe nchini rusesaNumber 2 Iko Nchi Gani
namba 2 ipo nyakimwe nchini rusesaNumber 2 Iko Nchi Gani
Kwa hizo criteria hiyo miji niliyotaja hakuna wa kufikia ChalinzeMaelezo yako yako hivi:-
1. Kwa Mzunguko wa Fedha
2. Maendeleo
3. Majengo
Hivyo vitu vitatu,kweli Chalinze ina ubavu wa kupambana hata na Masasi?
Logical Thinking and Reasoning yako inanipa mashaka.
Ndiyo,sawa mji wa Musoma unaweza kuwa na eneo kubwa kuliko Chalinze lakina fedha hakunaSasa ndiyo uilinganishe na chalinze ?!
Ata mananasi uchochea mzunguko wa fedha na maendeleoLabda kwa kuuza mananasi
Hizo ni pumba kakaKwa hizo criteria hiyo miji niliyotaja hakuna wa kufikia Chalinze
Tena pumba za korosho. ila pole(jiwe gizani)Hizo ni pumba kaka
Tutajie majengo au Hotel 10 ambazo ni Classic kwa Chalinze,halafu weka makusanyo ya Chalinze kama data za serikali sahihi. Hapo maana yake nimetaja majengo na Maendeleo kwa pamoja.Kwa hizo criteria hiyo miji niliyotaja hakuna wa kufikia Chalinze
chalinze ile ambayo wananchi wake wanakunywa maji ya kwenye dimbwi kama ng'ombe???Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani

mlima nyoka na eneo lile lote mpk upande wa pankumbi ni hatari tupu mkuu, nyumba zimejengwa hovyo hovyoila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali
Ndiyo hiyohiyo,ushangae sasa.chalinze ile ambayo wananchi wake wanakunywa maji ya kwenye dimbwi kama ng'ombe???![]()
wanategemea kuuza korosho wakishapata hell wanaoa wake wanne upuuzChalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
Yote ni maendeleowanategemea kuuza korosho wakishapata hell wanaoa wake wanne upuuz
Huwa hauishi ukishapiga pafu moja mpaka miaka7Siku nyingine ukitaka kuanzisha uzi hakikisha moshi wa zile sigara zenu mnazotengeneza wenyewe zimeisha
Bila kututajia mzunguko wa fedha ni kiasi gani kwa siku hapo Chalinze na huko kwenye mikoa uliyoitaja, tutajuaje kwamba taarifa yako siyo uzushi tu? Habari za kuaminika zinakwenda na data.Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Unaongelea hii Chalinze ya Wakwele wanaocheza ngoma na shule hawajui wakawazidi Maprofessor wa Bukoba? Hawa wnaonalala kwenye vibanda, nenda Kagera tena migombani huone majumba, Lini Chalinze kielimu wameanza kwenda shule? Ebu acha utaniKwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Mwenye macho haambiwi kuonaBila kututajia mzunguko wa fedha ni kiasi gani kwa siku hapo Chalinze na huko kwenye mikoa uliyoitaja, tutajuaje kwamba taarifa yako siyo uzushi tu? Habari za kuaminika zinakwenda na data.