instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Chalinze bado hamjazidi kimji hiki cha kyaka kilichopo pembezoni mwa MTO kagera ndo mzidi mji wa pili Kwa ukubwa kwenye kanda ya ziwa baada ya mwanza? Mji wenye wakazi zaidi ya laki tatu ,mji wenye mashule na wasomi 65% ya tz.mji wenye bandari mbili kubwa kemondo na custum . airport kubwa Tu iliyobusy muda wato,maghorofa kibao umeshayaona kwenye picha,viwanda kibao vya kahawA,chai nk.mji wenye uwanja mzr wa mpira wa tatu tz.mji wenye hotel zaidi ya 20 zenye nyota tatu na kuendelea bila kusahau Hali ya hewa isiyopatikana popote tz .huo ni mji wa kyaka wilayani misenyi
