- Thread starter
- #161
Hawawezi kuja wamekubali ukweliNgoja wanyiramba waje wakutukane!
Hawawezi kuja wamekubali ukweliNgoja wanyiramba waje wakutukane!
Sijaona cha ajabu kwenye hizo picha.Nadhani umeangalia mji wa Bukoba na baadhi ya mahoteli machache niliyokuwekea na uniambie Chalinze yako ina lipi la kujivunia na kuipita miji uliyotaja
Sijaona cha ajabu kwenye hizo picha.
Asante mkuu hujaona cha ajabu toka Bukoba. Nionyeshe cha ajabu toka Chalinze ili nikubaliane na wewe pamoja na wadau wengine humuSijaona cha ajabu kwenye hizo picha.
Nimejaribu kufanya search Chalinze kama niliyofanya ya Bukoba sikuona kitu. Tusaidie na weweSijaona cha ajabu kwenye hizo picha.
Ni kweli mkuu.Njia ni muhimu Sana.Hapa elimu inabidi itolewe kwa winging kwa wananchi ili waelewe.Tatizo kinaanzia pale mtu anapouziwa kiwanja.Anayeuza kiwanja haachi njia kati ya kiwanja kimoja na kingine na anayenunua Wala Hilo haliwazi.Viongozi wa vijiji na vitongoji (baadhi yao) wanaosimamia HAYO Wala hawajali.ila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali
Kuwa serious basi,yaani unafananisha Mtwara na Moshi,ebu waombe wachaga msamahaaNdugu hizo takwimu ni za mwaka gani?
Takwimu za karibu kutoka TAMiSEMi inaonesha kuwa MTWARA umeupita Mji wa MOSHI kwa kukusanya Mapato, cha Ajabu MOSHI haipo kwenye List hiyo
Huwezi kuona kitu,sababu umekaa kiushabikishabiki.Nimejaribu kufanya search Chalinze kama niliyofanya ya Bukoba sikuona kitu. Tusaidie na wewe
Nimekaa Bukoba miaka 2 miwili biashara zangu zilikufa zote,hakuna mzunguko wa fedha kabisaAsante mkuu hujaona cha ajabu toka Bukoba. Nionyeshe cha ajabu toka Chalinze ili nikubaliane na wewe pamoja na wadau wengine humu
Ndiyo maana nikaomba nionyeshwe bila ushabikiHuwezi kuona kitu,sababu umekaa kiushabikishabiki.
Kwa hiyo Chalinze Biashara imenawili. Labda ulifanya biashara kwenye competition kubwa na kwa sababu ni mgeni ukashindwa kuwin wateja, umekuja kimji kidogo lazima uonekane na biashara itawezekanaNimekaa Bukoba miaka 2 miwili biashara zangu zilikufa zote,hakuna mzunguko wa fedha kabisa
Mtoa mada chizi chalinze ipi?Chalinze hihii kwa wakwere ama kuna nyingine?
Acha Mishe zako NA upuuzi wako Chalinze nayoijua Mimi iishinde Simiyu ambayo kimikoa kwa takwimu zilizotoka juzi inaongoza kwa mikoa
Ndugu hizo takwimu ni za mwaka gani?
Takwimu za karibu kutoka TAMiSEMi inaonesha kuwa MTWARA umeupita Mji wa MOSHI kwa kukusanya Mapato, cha Ajabu MOSHI haipo kwenye List hiyo
Moshi huo mji umedumaa sana na ndo mana unapitwa na MtwaraKuwa serious basi,yaani unafananisha Mtwara na Moshi,ebu waombe wachaga msamahaa
Stand haijengwi na watu binafsi! Halafu hiyo stand ilibidi ijengwe ila sababu za kisiasa zilikwamisha huo mpango. Wasomi wana fanya maendeleo yao, wewe ingia mtaani au vijijini uone maendeleo ya mtu mmoja mmoja! BK nyumba ya udongo unaitafuta kwa torch, bati za kisasa. Karibu BK december hii wasomi tutakua likizo na ma prado yetuMkuu kusoma sio tatizo. suala hapa huo usomi umesaidia nini Kagera yako? hata stand ni vumbi tupu sasa unawezaje kujisifia elimu hapa

Duh!Nimekaa Bukoba miaka 2 miwili biashara zangu zilikufa zote,hakuna mzunguko wa fedha kabisa
Hivi ni mji gani ukiondoa majiji unaoweza kwenda na Kasi ya mji huu wa bukobaSijaona cha ajabu kwenye hizo picha.
Sio mimi tu wafanyabiashara wengi tuliokuwa nao Bukoba miaka hiyo walishakimbia,sababu kubwa hakuna mzunguko wa fedha.Kwa hiyo Chalinze Biashara imenawili. Labda ulifanya biashara kwenye competition kubwa na kwa sababu ni mgeni ukashindwa kuwin wateja, umekuja kimji kidogo lazima uonekane na biashara itawezekana
Labda miaka 1000 ijayoMoshi huo mji umedumaa sana na ndo mana unapitwa na Mtwara
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani