Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Mbona wewe haujawahi kumuuliza Baba yako kwa nini kamung'ang'ania mama yako toka awe nae hadi leo nawe unaitwa baba, Unadhani hakuna wanaume wengine wanaoweza kum drive mama yako?????.
Hizi arguments za kipuuzi zinafubaza upeo
 
2014 mlimani city pale nlikuwepo na kura nilimpa na hakugombea peke yake alikuwa na wapinzani wengine hivyo alipitishwa kwa demokrasia sasa udikteta ukwapi??
Tukumbushe alishindana na nani
 
Sasa mnataka katiba ya chadema ifanane na ccm? Wao wana katiba yao na ccm ina katiba yake, haziwezi kufanana hata siku 1 hivyo nyie ccm msipange utaratibu wa chadema, kama utaratibu wao unasema mwenyekiti kae maisha, kinawauma nini
Huu hii sio katiba ya chadema ni katiba ya mbowe
 
Ndio maana hawa mazuzu walimmiminia risasi TL..., wanaona kabisa kua yeye ndio mrithi wa Mbowe..., na HANUNULIKI vile vile...
Tuna mtaka driver aje ahojiwe na tl mwwnyewe .maigizo hatutaki
 
Ukweli hubaki Ukweli. Uongo hubaki uongo tu. Akili ndogo haziwezi kushinda akili kubwa.
 
Suala sio wastani. Hapo hoja ni 11. je, Mbowe amekaa muda gani madarakani? 2. Je, CHADEMA inajiendesha kwa kuiga model ya CCM?

Ni yaleyale sawa na Nyerere kuongoza TANU/CCM kwa miaka 34 mfululizo. Sidhani kama ukomo wa kuongoza chama ni issue kama ule wa kuongoza nchi.
 
Unapata wapi mamlaka ya kusema kuhama chama ni usaliti wakati katiba inaruhusu? Si kwamba wanachama bado wanamtaka bali ni ubabe tu ulitumika kujipa uwenyekiti wa kudumu kwa kuchomoa kipengele ktk katiba ya Chadema kuhusu uchaguzi wa mwenyekiti baada ya kuona Zitto Kabwe na Chacha Wangwe walikuwa na nia ya kugombea uenyekiti wa Chama, yaliyowakuta kila Mtanzania anayajua
Usaliti sababu ndio waliotimuliwa tena mkutano mzima waliafiki watimuliwe sasa lawama zinaendaje kwa mbowe?? Unakumbuka retreat ya wabunge CHADEMA walipotaka kumtimua uanachama zitto ila mbowe akamuombea msamaha cku ile bagamoyo hadi zitto akamwaga chozi au hujui uvumilivu una mwisho???

Kipengele gani kimechomolewa??? Kwenye katiba mpya ya CHADEMA hakujawahi kuwa na kipengele cha ukomo wa nafasi ya uenyekiti kma unakijua hicho kipengele kilichochomolewa naomba unitajie hapa NTAJIUZURU CHADEMA!!! Ila kama huna shut up for life!!!

Ni lini wangwe alitaka uenyekiti wa CHADEMA??? Unajua msipende kuongea msiyoyajua kilichomuondoa wangwe duniani ni kusema kwenye kikao cha mwisho cha bunge kwamba mkutano wa bunge linalofuata ataleta ushahidi kuwa Balali yupo hai!!! Wengie hamkumbuki hilo na CCM imewalisha propaganda kuhusu mbowe..... Hivi unafkiri kma mbowe angemuua wangwe na wanachadema wakajua wasingegawanyika??? Hivi unafkiri mke wake chacha Mrs Dotto na wanawe wawili wangebaki CHADEMA ilihali baba yao kauawa na mbowe?? Embu kuweni serious!!!!

Kuhusu zitto kilichomfukuzisha CHADEMA ni waraka wa siri uliotaka wapandikize viongozi toka ngazi za wilaya hadi taifa ili uchaguzi ukifika apite kwa kishindo!! Ssa demokrasia gani inayotaka upandikize watu ili ushinde kiujanja ujanja??? Huoni angeua chama??? Na ili muone ni wasaliti kweli leo hii ACT ikwapi?? Mkumbo na mwigamba na mchange wakwapi??? Am a big fan of zitto ila kwa hilo namsupport sana mbowe mpaka kesho na sasa ukweli umedhihiri kuwa ACT ni CCM na siku zitto akirudi nyumbani na kukiri alikosea kma kafulila alivyofanya ndio mtaamini mbowe sio mafia kama mnavyotaka aonekane
 
Hakuna chama duniani kisicho na makundi .kutaka ndani ya chama nyote muwaze sawa ni upuuzi ,uzandiki na woga wa kupata maaoni mapya na mawazo mbadala
Lakini makundi sio jambo jema kwa ustawi wa chama nafkiri uliona jinsi gani CCM imeteswa na siasa za makundi kwa miaka 20 sasa..... Huoni CUF na siasa za makundi ya lipumba na seif zinavyoiua??? Unakumbuka NCCR kati ya marando na mrema?? Kwa ufupi siasa za makundi hazitakiwi kuachwa zistawi kabisa
 
Wapi chacha wangwe,wapi zzk mbowe hataki kushindana na MTU sikuzote hugombea yeye kama yeye
Wangwe alimaliza na CCM kisa aliongelea issue ya balali na kuahidi kuwaumbua kuhusu faking kifo chake ndio maana wakammaliza hilo hata familia yake inajua ndio maana ikabaki yote CHADEMA ina maana ww unajua sana kuliko mke wake???

ZZK ulafi wa madaraka ulimuua...... Waraka ulikua unaenda kuzika chama maana alitaka kupandikiza viongozi wake kuanzia wilayani hadi kitaifa sasa mbowe angefanya hivyo pia chama kingefika??? Embu tuache mambo ya kihuni kma anakubalika si angesubiri siku ifike kma kina mnyika hakuwa na kundi wala nini ila siku ya siku huyo akapewa unaibu katibu mkuu kwa kura za heshima sasa kilichomshinda zitto kusubiri ni nini

Kafulila mlisema hivihivi ila aliporudi CHADEMA nakuomba radhi kwa kukiri ALIPOTEA naona ndio mkaufyata mpaka leo
 
Unamzungumzia mnyika wa mwaka 2010 hadi 2015 au wa 2016 hadi Leo ,jifunze kutafuta ukweli na kuusema
Mnyika anaumwa ndio maana..... alifanyiwa operation ya figo na bado nyingine inamsubiri hicho ndio kinamsononesha ma kumpa hofu na hata spidi yake imepungua ila halina uhusiano wowote na ujio wa lowassa au udikteta wa mbowe

Mind u mnyika alikuwepo kwenye kampeni zote za lowassa dar pia siku slaa anasepa ni mnyika aliyejitokeza na kupinga maneno ya slaa sasa kwanni asisuse kabla ya uchaguzi ila asuse baada ya uchaguzi

Kingine alikosa ukatibu mkuu maana alitegemea slaa angemuachia yeye ikamuuma ndio maana akasusa thats all ila hakuna uhusiano wowote na udikteta wa mbowe
 
Ukweli hubaki Ukweli. Uongo hubaki uongo tu. Akili ndogo haziwezi kushinda akili kubwa.
Na akili ndogo ni pale mwenyekiti wa chama anapopata divi division zero na bado akataka kuwaongoza maproff kina kitila,baregu huu ndio akili ndogo kuongoza akili kubwa

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Usaliti sababu ndio waliotimuliwa tena mkutano mzima waliafiki watimuliwe sasa lawama zinaendaje kwa mbowe?? Unakumbuka retreat ya wabunge CHADEMA walipotaka kumtimua uanachama zitto ila mbowe akamuombea msamaha cku ile bagamoyo hadi zitto akamwaga chozi au hujui uvumilivu una mwisho???

Kipengele gani kimechomolewa??? Kwenye katiba mpya ya CHADEMA hakujawahi kuwa na kipengele cha ukomo wa nafasi ya uenyekiti kma unakijua hicho kipengele kilichochomolewa naomba unitajie hapa NTAJIUZURU CHADEMA!!! Ila kama huna shut up for life!!!

Ni lini wangwe alitaka uenyekiti wa CHADEMA??? Unajua msipende kuongea msiyoyajua kilichomuondoa wangwe duniani ni kusema kwenye kikao cha mwisho cha bunge kwamba mkutano wa bunge linalofuata ataleta ushahidi kuwa Balali yupo hai!!! Wengie hamkumbuki hilo na CCM imewalisha propaganda kuhusu mbowe..... Hivi unafkiri kma mbowe angemuua wangwe na wanachadema wakajua wasingegawanyika??? Hivi unafkiri mke wake chacha Mrs Dotto na wanawe wawili wangebaki CHADEMA ilihali baba yao kauawa na mbowe?? Embu kuweni serious!!!!

Kuhusu zitto kilichomfukuzisha CHADEMA ni waraka wa siri uliotaka wapandikize viongozi toka ngazi za wilaya hadi taifa ili uchaguzi ukifika apite kwa kishindo!! Ssa demokrasia gani inayotaka upandikize watu ili ushinde kiujanja ujanja??? Huoni angeua chama??? Na ili muone ni wasaliti kweli leo hii ACT ikwapi?? Mkumbo na mwigamba na mchange wakwapi??? Am a big fan of zitto ila kwa hilo namsupport sana mbowe mpaka kesho na sasa ukweli umedhihiri kuwa ACT ni CCM na siku zitto akirudi nyumbani na kukiri alikosea kma kafulila alivyofanya ndio mtaamini mbowe sio mafia kama mnavyotaka aonekane
Mbowe anauma na kupuliza anamchukia zitto huku anajifanya anapenda mbele ya camera very pathetic leader

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Lakini makundi sio jambo jema kwa ustawi wa chama nafkiri uliona jinsi gani CCM imeteswa na siasa za makundi kwa miaka 20 sasa..... Huoni CUF na siasa za makundi ya lipumba na seif zinavyoiua??? Unakumbuka NCCR kati ya marando na mrema?? Kwa ufupi siasa za makundi hazitakiwi kuachwa zistawi kabisa
Makundi au kuwa na mawazo na mtazamo tofauti ukiona watu wote mnakubaliana kila jambo ujue ni upuuzi

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Wangwe alimaliza na CCM kisa aliongelea issue ya balali na kuahidi kuwaumbua kuhusu faking kifo chake ndio maana wakammaliza hilo hata familia yake inajua ndio maana ikabaki yote CHADEMA ina maana ww unajua sana kuliko mke wake???

ZZK ulafi wa madaraka ulimuua...... Waraka ulikua unaenda kuzika chama maana alitaka kupandikiza viongozi wake kuanzia wilayani hadi kitaifa sasa mbowe angefanya hivyo pia chama kingefika??? Embu tuache mambo ya kihuni kma anakubalika si angesubiri siku ifike kma kina mnyika hakuwa na kundi wala nini ila siku ya siku huyo akapewa unaibu katibu mkuu kwa kura za heshima sasa kilichomshinda zitto kusubiri ni nini

Kafulila mlisema hivihivi ila aliporudi CHADEMA nakuomba radhi kwa kukiri ALIPOTEA naona ndio mkaufyata mpaka leo
Kijana rudovick alikuwa kuwadi wa mbowe na mamruki dhidi ya chacha aliyetaka kugombea uenyekiti na ukumbuke mbowe alitoka U.k kuja kupambana na wangwe

Kumbuka kisa cha Ben 8 na shutma za mbowe kukaa kimya ,mbowe ni mpuuzi sana,yuko wapi Dada yake alipotua tu ccm hakumaliza mwezi

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Mnyika anaumwa ndio maana..... alifanyiwa operation ya figo na bado nyingine inamsubiri hicho ndio kinamsononesha ma kumpa hofu na hata spidi yake imepungua ila halina uhusiano wowote na ujio wa lowassa au udikteta wa mbowe

Mind u mnyika alikuwepo kwenye kampeni zote za lowassa dar pia siku slaa anasepa ni mnyika aliyejitokeza na kupinga maneno ya slaa sasa kwanni asisuse kabla ya uchaguzi ila asuse baada ya uchaguzi

Kingine alikosa ukatibu mkuu maana alitegemea slaa angemuachia yeye ikamuuma ndio maana akasusa thats all ila hakuna uhusiano wowote na udikteta wa mbowe
Hahahahahaha lisu na mnyika nani anaumwa nani yupo kimya

Chadema wana kiwanda cha uongo by jkm

Back
Top Bottom