Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Wakumbushe na nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kwa zaidi ya wengine wooote
Mkuu usichanfanye mada,wakati mwalimu Nyerere yupo madarakani nchi ilikuwa na mfumo wa chama kimoja,tukiiga mfumo wa nchi za kisosholist.
Baada ya mfumo huo kutiweka na mfumo wa kinachoitwa demokrasia kushamiri,tulitegemea wanasiasa kupevuka zaidi na demokrasia kushika mkondo wake.
Nini kinatokea,katiba ya cdm tokeo ka mwaka 2006,liliweka ukomo wa miaka ya mwenyekiti kuwa ni vipindi viwili vya miaka mitano mitano.Hiyo ndiyo demokrasia ya chama cha kidemokrasia.
Nini kilitokea Mbowe alibadilisha katiba bila kujadiliwa na kikao cho chote kwa mujibu wa katiba wa chama cha demokrasia,na hataki watu wahoji juu ya mabadiliko mazito ya katiba bila vikao halali vya chama kuhusishwa.
Hakafu mtu huyo huyo naona wenzake waovunja demokrasia na kuwaita msdekiteta.
 
Vipi kuhusu cccm kutawala kwa nguvu tangu Uhuru hii huamini kama ni tatizo la Nchi hii?
Mkuu pengine tunajadili msswala ya nchi na watu ambao uelewa wao,tunautilia shaka.
CCM haijaeahi kutawala kwa nguvu,kwa sababu haijawahi kuipindua serikali ye yote,badala yake tokea enzi xa chama kimoja imekuwa ikiomba ridhaa kwa Watanzania kila baada ya miaka mitano kwa njia ya uchaguzi.
Sasa mkuu kama unakata ccm wasishiliki uchaguzi ili chama kingine kishike hatamu za uongozi na kwako iwe ndio demokrasia unajidanganya.Wanachi ndio husimika chama kuongoza nchi,na si matakwa ya mtu.
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Huyu Evarist Chahali kumbe hana hakili, ameandika upumbavu. Uenyekiti wa mtu sisi unatuhusu nini? cha maana ni utumishi wake, swala la kungalia ana ufanisi? Ndiyo! kama ni ndiyo kwanini atoke? Simply Chahali hana hakili. Angekuwa mwenye busara angeongelea ukosefu wa ajira wa sasa, umasikini kuongezeka, biashara kufa, bank kufirisika, vyuma kukaza, uohovyo na udumavu wa huduma za kijamii. MWISHO
 
Inakubidi uelewe kuwa CHADEMA mpaka sasa ina miaka 26 na imeshakuwa na wenyeviti watatu. Hiyo ni wastani wa miaka 8 kwa kila mwenyekiti wakati CCM/TANU ina miaka 64 na ishakuwa na wenyeviti 5 mpaka sasa na hivyo kuwa na wastani wa miaka 13 madarakani akiwemo na JPM. Sasa sijui hizi kelele zako ni miluzi au mbinja?
Suala sio wastani. Hapo hoja ni 11. je, Mbowe amekaa muda gani madarakani? 2. Je, CHADEMA inajiendesha kwa kuiga model ya CCM?
 
Kwahiyo hao wapiga kura ni mali ya mbowe??? Ilihali wengine ndio hao wanaenda CCM?? kama ni mali yake kivp wasaliti waende ccm???

Kama wanachama bado wanamtaka basi ataendelea kuwa mwenyekiti ilihali katiba inaruhusu na chaguzi ni huru na haki sasa sijui kinachowauma ccm ni nini??
Unapata wapi mamlaka ya kusema kuhama chama ni usaliti wakati katiba inaruhusu? Si kwamba wanachama bado wanamtaka bali ni ubabe tu ulitumika kujipa uwenyekiti wa kudumu kwa kuchomoa kipengele ktk katiba ya Chadema kuhusu uchaguzi wa mwenyekiti baada ya kuona Zitto Kabwe na Chacha Wangwe walikuwa na nia ya kugombea uenyekiti wa Chama, yaliyowakuta kila Mtanzania anayajua
 
Tangu mfumo wa vyama vingi,
1. Wenyeviti wa Chadema ni Edwin Mtei, Bob Makani na Freeman Mbowe

2. Wenyeviti wa CCM ni Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli

3. Wenyeviti wa chama pendwa na wanaCCM kiitwacho UDP ni John Cheyo pekee

4. Wenyeviti wa CUF na TLP ni wenyeviti karibu miaka 20 iliyopita

Mantiki inataka tuanze na sehemu zenye uozo zaidi kabla ya kukinyooshea vidole chadema
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Haikuhusu pambana na hedhi yako[emoji90] mapedi ya oluweiz yamejaa madukani we unatumia mitambala
 
ni mtazamo finyu sana kuamini demokrasia ni kubadilishana viongozi tu. ni zaidi ya hapo.kwa mfano utaweza sema ccm kuna demokrasia kisa kubadilishana nafasi ya uenyekiti ilihali usipokuwa rais huruhusiwi kuwa mwenyekiti?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alimkaribisha na kumpa nafasi kubwa mtu mwingine kwa siku mbili, Aliona Bora waziri mkuu mstaafu kuliko Katibu mkuu aliyepata ukilema kwa kupigania chama, anatudanganya kuwa hajui kama Lowasa alikua na safari ya Ikulu,,,,,,, But, haya pia ni mafanikio

Politrics
Aisee
 
Mkuu hivi leo hii pale bungeni tukipeleka mswada kwamba rais aongezewe muda miaka 10, kwa wingi wa wale wabunge waliokaririshwa kulinda maslahi yao, wakaipitisha hivyo, utakubali kuwa ni demokrasia? Am just imagining kuwa muda huo hao wajumbe waliposema isiwe na kikomo kuna watu walikuwa na maslahi yao binafsi, na nina imani kuwa saa hizi kuna wengine wanatamani isiwe hivyo iwe ya kuitisha uchaguzi kila baada ya muda fulani, simanishi kwamba wamtoe Mwenyekiti bali kama anakubalika na anapitishwa kila uchaguzi ukiitishwa ingependeza zaidi. Lkn isiwe kwamba tangu achaguliwe hadi siku aamue kutoka.
ccm huwa haifanyi maamuzi kwa kukurupuka ,wakitaka hata kubadili katiba kesho wanaweza ila kwao ukomo si jambo la kujadili tena ni imani tu
 
Acha kuongea usiyoyajua..... Mnyika na slaa walishakuja humu JF wakajibu kila kitu kuhusu katiba ya CHADEMA hadi uzi mkafunga na maswali yote yalijibiwa hata la huyo msaliti mwigamba

Katiba ilisimamiwa na baregu na katibu alikuwa mnyika na walizunguka nchi nzima na maoni yote yalikuwa mapya hivyo hakuna kipengele kilichofutwa ila ni kwamba maoni mapya hayakutaka ukomo kwenye nafasi ya uenyekiti sasa toka lini kipengele kilifutwa???

Hiyo halisi na feki zikwapi??? Ina maana msajili hajui ila ww ndio unajua?? Mbona mwigamba hajashtaki ili mbowe afungwe jela kwa uhuni huo??? Mnashagaza
Unamzungumzia mnyika wa mwaka 2010 hadi 2015 au wa 2016 hadi Leo ,jifunze kutafuta ukweli na kuusema
 
Sio katiba inamlinda ila kura huwa zinapigwa na chaguzi huru na haki....... Na kila chaguzi ameshinda sasa kma katiba inamlinda na wanachama hawamtaki angekuwa mwenyekiti leo??
Wapi chacha wangwe,wapi zzk mbowe hataki kushindana na MTU sikuzote hugombea yeye kama yeye
 
Sio uoga sometimes kama chama kinataka kufika mahali lazima kivunje makundi kwa mfano zitto akipambana na mbowe alafu mbowe akashindwa unakuta ingezaa makundi pia zitto naye angeanguka wangeona kaibiwa kura n.k yaani kungetokea mgogoro tu ndio maana hata ccm kuepuka hayo ya chama kugawanyika wanahofu kuweka magufuli agombee na mtu pia hata upinzani huwa wanaepuka makundi ndio maana ni vizuri kiongozi apatikane kwa maridhiano sasa zitto kma angeamua kusubiri kama mnyika sasa hivi angekuwa kachukua nafasi ya mashinji na angekuwa mgombea urais ajaye 2020 ila haraka zake ndio zilimponza ila sioni kosa wazee kumzuia kugombea maana ingeleta mpasuko ndani ya chama

Otherwise vyama vingeunda mfumo ambao anayeanguka post flani anapewa post ingine hii ingesaidia kuua makundi..... Mfano ukikosa uenyekiti upewe ukatibu mkuu nafkiri ikiwa hivyo hata CCM au CHADEMA watajitokeza wengi zaidi kugombea uenyekiti tofauti na sahivi wanapohofu mgawanyiko especially mmoja wao akianguka
Hakuna chama duniani kisicho na makundi .kutaka ndani ya chama nyote muwaze sawa ni upuuzi ,uzandiki na woga wa kupata maaoni mapya na mawazo mbadala
 
Mwwnyekiti wa kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, Mwenyekiti wa pili ni Bob Makani, Mwenyekiti wa tatu ni Freeman Mbowe na ndiye mwenyekiti mwenye mafaniko zaidi ya wote, ni kwa nini huyu anawanyima usingizi?
Kwa kubadilishia gia angani au? Tutaona mafanikio zaidi 2020
 
Back
Top Bottom