Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Ndio mnavyojifariji hivyo sio! Basi acheni kupiga kelele namambo yanayofanywa na JPM kama ndo uelewa wenu uko hivyo.
JPM ni kiongozi wa vyama vyote na wasio na vyama sasa kivp tusimuongelee?? Kituko ni nyie CHADEMA haina dola kazi kuiandama ilihali serikali bado inafanya madudu sasa kipi kina maslahi kwa taifa?? CHADEMA ikiboronga itakuathiri vipi ww ila CCM ikiboronga jua kila kitu kuanzia siasa mpaka uchumi vitatuathiri nchi nzima

Hivyo muelekeze nguvu kudai CCM ijirekebishe iache ufisadi na itimize ahadi za kwenye ilani yake sababu ina maslahi kwa taifa ila chadema haikuathiri chochote muachane nayo kila cku mbowe this mbowe that.... Tumechoka
 
Nimegungdua wewe ni mpumbavu unaishi kwa mazoea kukuelewesha ni kazi ngumu
Wewe ndo mpumbavu kwa sababu umeng`ang`ania kuwa mwalimu wa CHADEMA kama vile walioko kule ni baba zako.Hivi kwa akili yako ndogo hiyo unadhani unaweza kuwaelekeza kitu CHADEMA(akili kubwa)??. Bwana mdogo simama na utafakali.
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Milele maana yake ni nini? Umechoka sasa kufanya propaganda!
 
Wewe ndo mpumbavu kwa sababu umeng`ang`ania kuwa mwalimu wa CHADEMA kama vile walioko kule ni baba zako.Hivi kwa akili yako ndogo hiyo unadhani unaweza kuwaelekeza kitu CHADEMA(akili kubwa)??. Bwana mdogo simama na utafakali.
Kakojoe ulale mtoto halali na hela
 
JPM ni kiongozi wa vyama vyote na wasio na vyama sasa kivp tusimuongelee?? Kituko ni nyie CHADEMA haina dola kazi kuiandama ilihali serikali bado inafanya madudu sasa kipi kina maslahi kwa taifa?? CHADEMA ikiboronga itakuathiri vipi ww ila CCM ikiboronga jua kila kitu kuanzia siasa mpaka uchumi vitatuathiri nchi nzima

Hivyo muelekeze nguvu kudai CCM ijirekebishe iache ufisadi na itimize ahadi za kwenye ilani yake sababu ina maslahi kwa taifa ila chadema haikuathiri chochote muachane nayo kila cku mbowe this mbowe that.... Tumechoka
Hizo ruzuku wanazopokea CDM ni kodi za Watanzania.Na ndo hizo hizo zinazomfanya King Mgabe Jounior kung'ang'ania Kiti. Kama angekuwa anakula michango ya [HASHTAG]#MAKARAI[/HASHTAG] yake wala tusingemjadili sawa ndugu.
 
Sasa si CAG ndio anakagua..... Uende huko ukahoji matumizi ya ruzuku ambayo ni kodi yako tumechoka na blah blah zenu

Kuhusu mbowe kuwa mwenyekiti sisi wanachadema tulitaka na hatujawahi kusema ni dikteta sasa nini kinawauma CCM?? yaani sindano achome mgonjwa alafu maumivu ayahisi daktari??? Funny
 
Hahaaaaa, Kwani ripoti ya CAG 2014 kuhusu matumizi ya ruzuku CDM ilisemaje [HASHTAG]#KAKARAI[/HASHTAG]. Nini ilikuwa reaction ya Naibu katibu mkuu kwa wakati huo, Nini kilimpata naibu katibu mkuu baada kuhuji matumiz hayo ya pesa. Umesema vizur Mbowe ni Mwenyekiti wenu sawa hilo halina shida lakin RUZUKU ni kodi za watanzania sawa KAKARAI?

Kwa upande mwingine Magufuli tulimchagua sisi tuliowengi na tunaridhika sana na utendaji wake wa kazi. Na yote anayotenda ndo tuliyomtuma.Na ataendelea kuyatenda kwa sababu sisi tuliowengi ndiyo matakwa yetu. Kama hutaki jichimbie uibuke 2030
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Hivi mwenyekiti wa UDP ni nani? Alichaguliwa mwaka gani?
 
Hahaaaaa, Kwani ripoti ya CAG 2014 kuhusu matumizi ya ruzuku CDM ilisemaje [HASHTAG]#KAKARAI[/HASHTAG]. Nini ilikuwa reaction ya Naibu katibu mkuu kwa wakati huo, Nini kilimpata naibu katibu mkuu baada kuhuji matumiz hayo ya pesa. Umesema vizur Mbowe ni Mwenyekiti wenu sawa hilo halina shida lakin RUZUKU ni kodi za watanzania sawa KAKARAI?

Kwa upande mwingine Magufuli tulimchagua sisi tuliowengi na tunaridhika sana na utendaji wake wa kazi. Na yote anayotenda ndo tuliyomtuma.Na ataendelea kuyatenda kwa sababu sisi tuliowengi ndiyo matakwa yetu. Kama hutaki jichimbie uibuke 2030
CAG alitoa hati ya mashaka 2014 sababu mali zote za chama hazikuwa zimethaminishwa ila haikuwa sababu ya kufujwa kws ruzuku usipotoshe

Zitto alitimuliwa sababu ya waraka ambao ulitaka aweke mapandikizi kuanzia uchaguzi ngazi ya wilaya hadi kitaifa hivyo ingeua chama maana ingeleta mgwanyiko na umeona hata leo hii waanzilishi wenzake kina mwigamba na kitila wameenda CCM je kivp utaweza kusimama na kuwatetea kuwa walikuwa ni watu wa nia njema ilihali leo wamesahau walipigania katiba mpya alafu leo wanajiunga na hicho chama kilichokataa katiba mpya??? Huwezi ona mbowe aliona mbali kuwa hawa kina zitto ni wasaliti??

3.Kuhusu mbowe na ruzuku nmeshasema muende kwa CAG mkadai awape ripoti juu ya ukaguzi wa vyama vya siasa kuliko mnatoka mapovu na kujifanya wataalam wa uhasibu huku ofisi inayoshughulika na ukaguzi wa ruzuku haijawahi leta hizo shutuma..... Mnashangaza

4. Kuhusu magufuli wote tunajua hakushinda ila NEC ndio ilimuweka hapo alipo na hata kma unampenda sio lazima ssi tumpende na ndio maana ya demokrasia..... Kama mnampenda huyo dikteta anayepiga risasi wanaompinga basi baki na mahaba yako ila jua kwamba chuki anayoipanda iko siku atailipia!!

Ni hayo tu
 
Katiba ya CHADEMA "x. CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama."
Huu ni UFASHISTI! Hahahaha!
 
Hata
CAG alitoa hati ya mashaka 2014 sababu mali zote za chama hazikuwa zimethaminishwa ila haikuwa sababu ya kufujwa kws ruzuku usipotoshe

Zitto alitimuliwa sababu ya waraka ambao ulitaka aweke mapandikizi kuanzia uchaguzi ngazi ya wilaya hadi kitaifa hivyo ingeua chama maana ingeleta mgwanyiko na umeona hata leo hii waanzilishi wenzake kina mwigamba na kitila wameenda CCM je kivp utaweza kusimama na kuwatetea kuwa walikuwa ni watu wa nia njema ilihali leo wamesahau walipigania katiba mpya alafu leo wanajiunga na hicho chama kilichokataa katiba mpya??? Huwezi ona mbowe aliona mbali kuwa hawa kina zitto ni wasaliti??

3.Kuhusu mbowe na ruzuku nmeshasema muende kwa CAG mkadai awape ripoti juu ya ukaguzi wa vyama vya siasa kuliko mnatoka mapovu na kujifanya wataalam wa uhasibu huku ofisi inayoshughulika na ukaguzi wa ruzuku haijawahi leta hizo shutuma..... Mnashangaza

4. Kuhusu magufuli wote tunajua hakushinda ila NEC ndio ilimuweka hapo alipo na hata kma unampenda sio lazima ssi tumpende na ndio maana ya demokrasia..... Kama mnampenda huyo dikteta anayepiga risasi wanaompinga basi baki na mahaba yako ila jua kwamba chuki anayoipanda iko siku atailipia!!

Ni hayo tu[/QUOTE

Hata hashimu Rungwe alidai yeye ndo alishinda uchaguz mkuu 2015 nafasi ya urais na Dovutwa pia alidai hivyo hivyo.

Kuna Uhalali wa mtanzania yeyote mlipa kodi kuhoji chochote kutoka chama chochote cha siasa kwa sababu kodi yake ndiyo inatumika kuendesha vyama.
Kwa hiyo CDM kuwa na mwenyekiti wa kudumu halafu mkadai hayo ni mambo yenu binafisi siyo sawa. Kwani mnapopokea ruzuku hamjui kuwa ni za watanzania wote.
Kama mnaona siyo sawa walipakodi kujua mambo ya chama chenu basi jiendesheni kwa michango
 
Nani kaabudu mtu??? Unataka asimsifie kiongozi bora zaidi wa upinzani Tanzania??? Kma ni mrithi atapatikana tu mbona nyie nyerere alikaa miaka 25 na hamkumuita dikteta?? Kma wanachama wanaona anatosha basi msiwapangie wenyewe ndio wataamua lini inatosha na watamtoa na kumuweka mwingine ila kelele zenu hazitosaidia lolote ilihali waliomchagua ni wanachadema wenyewe

Wewe hujui kitu. Au utulie ujifunze, au tafuta wa aina yako ufanye nao mjadala. Hata taratibu za mjadala ambazo zingewezesha wengine kujifunza kama taifa huna. Hukubali huu ukweli kutwa unafanya ushabiki. Hufundishiki.Jambo la mwisho yakupasa ufahamu ni kuwa vyama vya siasa ni mali ya public, ni Mali ya watanzania wote na si tu wanachama waliojiunga. Yeyote anaweza kuwa ccm leo name kesho akawa chadema na kinyume chake. Uimara wa vyama hivi ndio ustawi wa taifa kwani kwa mfumo wetu vyama vya siasa ndivyo vyenye nafasi ya kukabidhiwa mustakabali wa nchi kama kikishinda. Ombudsman wa kuhakikisha vyama hivi vinasimama imara ni watanzania wote na si wanachama wa vyama hivi tu. Anzia kujifunza hapo ili uelewe kwa nini siasa za Tanzania zina behave jinsi zilivyo. Kwa nini vyama vya siasa ndani yake lazima kuwepo mechanism ya kudhibiti watu na kwa nini pia usalama wa taifa ajishuhulishe na ujenzi wa vyama hivi.
 
Ngonjera ndefu hamna la maana uliloandika

Sasa wanachadema wameona kusiwe na ukomo wa uenyekiti kwenye katiba yao na mbowe ametumia hiyo haki kikatiba na alipigiwa kura nyingi na wanachama ili aendelee kuwa mwenyekiti sasa nyie kelele kuwa ni dikteta zinatoka wapi ilihali sisi wanacham tumeridhika na uongozi wake

Nimeshasema kama anafuja ruzuku mbona CAG anakagua na hajawahi wapa hato chafu kwa hoja hiyo??? Nyie mnaosema anakidai chama sijui anafuja ruzuku mnatoa wapi msingi wa madai yenu

Twende mbele turudi nyuma mbowe ndio kiongozi wa upinzani imara zaidi hapa Tanzania ukitaka kujua hilo angalia CUF na ACT na NCCR zilipopata migogoro zimetikisika ila CHADEMA imevuka yote ipo imara sasa kma hamlioni hilo mnakalia propaganda hazitowasaidia chochote
 
Billicanas hajaporwa ni kujigeuzia mali ya umma kuwa ya kwake kwa kutegemea huruma za wananchi! Eti Mwenyekiti afu hutaki lipa kodi!
Suala la kujichukulia maamuzi ya kulima kwenye catchment area siliungi mkono hata kidogo.
Suala la muundo wa upatikanaji kiongozi lisikupe shaka ni desturi ya chama kupokezana vijiti kila ufikapo ukomo wa uongozi na inafahamika hivyo na iko wazi katika katiba ya chama!

HOJA: Niambie uongozi wa CHADEMA katika nafasi ya uenyekiti ni miaka mingapi mingapi kwa muhula mmoja?
Ni lini amewahi itisha hata uchaguzi wa uongo uongo ili mpige kura ya kuchagua au kupendekeza mwenyekiti?
NI muundo upi wa demokrasia unayoizungumzia mliyoitumia kumpitisha LOWASA kuwa mgombea wenu wa uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA kwa ujumla?

Uchaguzi wa uongouongo duu! Umeniacha hoi. Kwa hiyo ccm mnafanyaga uchaguz wa uongouongo. Hatar
 
Nani aliyekuambia ruzuku ya million 200 inatosha kuendesha chama kwa mwezi ilihali operation moja tu kma operesheni pamoja daima ilicost billion 2!!!! Usikariri ina maana kabla hatujawa na wabunge tuliendeshaje chama bila ruzuku???

2.mna haki ya kuhoji sema msilete propaganda..... Mmeshaambiwa CAG amekagua sasa kwanni msiende mkahoji huko kuliko kuanza kurusha shutuma msizo na ushahidi

Kuhusu uenyekiti wake nmeshasema wanachadema ndio wanaamua maana ndio waliomuweka sasa kama katiba inaruhusu na tulimchagua kwa vipindi vitatu mnataka nini msio wanachama??? Hta kma mnasema watanzania mna haki ya kuhoji ndio nawajibu kuwa katiba imefuatwa full stop!!! Sio mtupangie nani awe mwenyekiti au nani asiwe hilo lazima mliheshimu maana ni maoni ya waliowengi

Kuhusu uchaguzi wa 2015 liko wazi kabisa kuwa haukuwa huru na wa haki ukubali au ukatae mlibebwa na NEC wwe hukua field zaidi ulikuwa unakunywa juice kwenye kiyoyozi ila mmi nlikuwepo field kabisa vituoni na Ninaweza andika essay nzima ya jinsi gani uchaguzi haukuwa huru kwa nliyoyashuhudia so sikulazimishi ukubali

Ni hayo tu
 
Hizo fedha zinakaguliwa na CAG kila mwaka! Watu wangetafuta report za CAG badala ya kuongelea Uzushi na Propaganda!
hawako tayari kujisumbua na mbaya zaidi hawako tayari kupata majibu sahihi wanachotaka wao ni jamii iwahukumu /imuhukumu mtu kwa malalamiko yao ili fursa zipatikane.
 
Back
Top Bottom