Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Billicanas hajaporwa ni kujigeuzia mali ya umma kuwa ya kwake kwa kutegemea huruma za wananchi! Eti Mwenyekiti afu hutaki lipa kodi!
Suala la kujichukulia maamuzi ya kulima kwenye catchment area siliungi mkono hata kidogo.
Suala la muundo wa upatikanaji kiongozi lisikupe shaka ni desturi ya chama kupokezana vijiti kila ufikapo ukomo wa uongozi na inafahamika hivyo na iko wazi katika katiba ya chama!

HOJA: Niambie uongozi wa CHADEMA katika nafasi ya uenyekiti ni miaka mingapi mingapi kwa muhula mmoja?
Ni lini amewahi itisha hata uchaguzi wa uongo uongo ili mpige kura ya kuchagua au kupendekeza mwenyekiti?
NI muundo upi wa demokrasia unayoizungumzia mliyoitumia kumpitisha LOWASA kuwa mgombea wenu wa uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA kwa ujumla?
Mbona wewe haujawahi kumuuliza Baba yako kwa nini kamung'ang'aniamama yako toka awe nae hadi leonawe unaitwa baba, Unadhani hakuna wanaume wengine wanaoweza kumdrive mama yako?????.
 
Dah...[emoji41]
f60c445cf35a62bfee7f56c04c8dfe32.jpg
 
Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Bro, Mshana unataka kutuaminisha kuwa CDM haiwezi songa bila Mbowe!!!!! Makinika kidogo, hii trouble iiliyopo sasa CDM sababu ni Mbowe alifika mwisho wa kufikiri kwa kufikiria 2015/16 tu 17/20 hakujishughulisha nayo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa nini mnataka kuwaamulia wanachadema Mustakabali wao? Uchaguzi Huwa unafanyika, waliompigia kura aendelee kuwa Mwenyekiti ndio wenye haki ya kumuondoa kwa style ileile waliyomuingiza! Wana Uwezo wa kupiga kura ya kumuondoa pia! Katiba ya Chama ndiyo iliyomuweka hapo!
Mkuu tukiwa na nusu ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema wenye maono kama yako na ikitokea chama hicho kikabahatika kukamata dola haitashangaza Tanzania kuendesha siasa kama zile zinazoendelea sasa Uganda, Rwanda na Burundi.(siasa za kuchezea katiba ya nchi kwa maslahi ya wa chache) Malalamiko yetu ni kitendo cha kuchezewa kwa katiba ya chadema iliyoondolewa ukomo wa uongozi kwa manufaa ya Mbowe. Na pia kutokuwa wanachama wa chadema hakutuondelei haki yetu ya kukikosoa chama hicho.
 
Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Swali: Demokrasia gani haiainishi ukomo wa uongozi wa mwenyekiti?

Ni kwa mda gani comrade Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama?
 
Mbona wewe haujawahi kumuuliza Baba yako kwa nini kamung'ang'ania mama yako toka awe nae hadi leo nawe unaitwa baba, Unadhani hakuna wanaume wengine wanaoweza kumdrive mama yako?????.Ni mkakati upi ulioufanya kumkomboa Bi mkubwa awe mwanamke huru kutoka kwenye makucha ya dingi yako???.
Nimegungdua wewe ni mpumbavu unaishi kwa mazoea kukuelewesha ni kazi ngumu
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
tatizo lenu mnafikilia kwa kutumia makalio,hivi huyu Mbowe huwa anajiptisha au ikifika muda waliojiwekea wanapiga kura naye ana haki ya kugombea ndipo hushinda wenzie,taarifa iliyopo ni kuwa nyie mnalipwa hela ili kufukia inshu ya katiba na mnajua Mbowe ndio anawanyima usingizi kwanii hanunuliki kama hao takataka wengine miliowanunua na mjue kuwa TL atachukua nafasi yake.Hivyo endeleeni kuwa wajinga nakutumiwa kama toilet paper.
 
Swali: Demokrasia gani haiainishi ukomo wa uongozi wa mwenyekiti?

Ni kwa mda gani comrade Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama?
hadi pale chama kitatkpoona hastahili,sisi sio wa kupangiwa,nendeni mkawapangie CUF LIPUMBA,TLP NA UDP
 
Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Dr Shika at large...ha ha haaa ! May be I am joking.
====
Maendeleo yapi ya kupigiwa mfano kutoka kwenye chama hiki Chama cha Demokrasia na Maendeleo !?
 
Mbona wewe haujawahi kumuuliza Baba yako kwa nini kamung'ang'aniamama yako toka awe nae hadi leonawe unaitwa baba, Unadhani hakuna wanaume wengine wanaoweza kumdrive mama yako?????.
So tunakubaliana kuwa hakuna Demokrasia
Comrade haguswi, siku akitajwa tu wafia ufipa wanaruka utadhani kidume kimeshikwa tyako.
Hahahahahaaa
 
Mkuu tukiwa na nusu ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema wenye maono kama yako na ikitokea chama hicho kikabahatika kukamata dola haitashangaza Tanzania kuendesha siasa kama zile zinazoendelea sasa Uganda, Rwanda na Burundi.(siasa za kuchezea katiba ya nchi kwa maslahi ya wa chache) Malalamiko yetu ni kitendo cha kuchezewa kwa katiba ya chadema iliyoondolewa ukomo wa uongozi kwa manufaa ya Mbowe. Na pia kutokuwa wanachama wa chadema hakutuondelei haki yetu ya kukikosoa chama hicho.
Well said Mkuu
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Chahali amesahau waliokuwa kabla ya mbowe.

"mwambie aache usahaulifu"
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Sasa mnataka katiba ya chadema ifanane na ccm? Wao wana katiba yao na ccm ina katiba yake, haziwezi kufanana hata siku 1 hivyo nyie ccm msipange utaratibu wa chadema, kama utaratibu wao unasema mwenyekiti kae maisha, kinawauma nini
 
Ndio mnavyojifariji hivyo sio! Basi acheni kupiga kelele namambo yanayofanywa na JPM kama ndo uelewa wenu uko hivyo.
 
Eti fisadi akishakuwa rais automatically kisha kuwa mwenyekiti nyoo! Sibora nibaki kuwa UDP kuliko chama cha kuokota magari na vichwa vya treni bandarini eti havina wenyewe, huku mitaani watu wanawachukia sana endeleeni kutafuta kiki kwa media
 
Back
Top Bottom