Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Mbowe anauma na kupuliza anamchukia zitto huku anajifanya anapenda mbele ya camera very pathetic leader

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Lini amemchukia zitto?? Hivi unajua yye ndio alimuingiza kwenye siasa?? Unajua walikuwa wamemuandaa kuwa mgombea urais baada ya Dk Slaa??? Hivi unajua walitaka awe mwenyekiti baada ya Mbowe?? Kma angemchukia angemfikisha hapo alipofika ambapo hata zitto mwenyewe amekiri bila Mbowe asingefika hapo alipofika sasa!!!

Mbowe anamkubali zitto sana tu ila shida ya zitto alianza dharau hasa baada ya kuona ana umaarufu na pesa kuliko chama ndio vikamfanya aonekane kirusi kwenye chama sasa ulitaka mbowe amdekeze mpaka lini???
 
Kumuingiza na baadae kuona anamtoa kwenye reli ndio hasira ya mbowe na chuki kubwa

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Kijana rudovick alikuwa kuwadi wa mbowe na mamruki dhidi ya chacha aliyetaka kugombea uenyekiti na ukumbuke mbowe alitoka U.k kuja kupambana na wangwe

Kumbuka kisa cha Ben 8 na shutma za mbowe kukaa kimya ,mbowe ni mpuuzi sana,yuko wapi Dada yake alipotua tu ccm hakumaliza mwezi

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Embu acheni propaganda dada yake alikuwa anaumwa toka hajahamia CCM sijui upotoshaji unawasaidia nini???

Kuhusu wangwe nmeshaeleza so ni wewe uamini unachotaka unafkiri mke wake hayajui yote haya ila wwe kijakazi wa lumumba ndio unajua kuliko mke wake aliyebaki chadema hata alipouawa mme wake???
 
Dharau lini kansa alikuwa na ushawishi ufipani

Mbowe ni threat kwa taasisi aliyoijenga mqenyewe

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Sasa kwani lazima uwe maarufu ili ugombee?? Mbona safari hakuwa maarufu ndani ya chama ila alishinda??? Salum mwalimu je??? Mbona walipitishwa na hawakuwa na majina hiyo sio sababu kma wwe unaona hawana ushawishi basi jua wengine waliridhika na uongozi wa mbowe
 
Embu acheni propaganda dada yake alikuwa anaumwa toka hajahamia CCM sijui upotoshaji unawasaidia nini???

Kuhusu wangwe nmeshaeleza so ni wewe uamini unachotaka unafkiri mke wake hayajui yote haya ila wwe kijakazi wa lumumba ndio unajua kuliko mke wake aliyebaki chadema hata alipouawa mme wake???
Acha ujinga Dada yake na familia yake walikufa kwa ajari which was seem to be planned

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Kumuingiza na baadae kuona anamtoa kwenye reli ndio hasira ya mbowe na chuki kubwa

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Sasa mbowe anasema watakufa na lwakatare ila zitto anasema wamtose

Chama kinasema madiwani watimuliwe zitto anasema wakomae atawalinda

Chama kinasema hakimtambui kikwete ila zitto akamtambua na kubaki bungeni

Chama kinasema M4C muhim yeye zitto anasema hakuchaguliwa kuzunguka majukwaani

Sugu anatimuliwa bungeni kiuonevu wapinzani wote wakatoka zitto akabaki eti HAKUITWA KUFANYA VURUGU

Unajua kuna mambo yanaudhi hata wwe usingemvumilia yaani kila kitu anaenda tofauti na chama ssa kwanni asisuse tu kuliko kukigawa chama nakumbuka kuna siku aliwaambia wabunge wa CHADEMA wote wa kiislam wasikubali kumsusia kikwete kwa maelekezo ya KAFIRI!!!

Mara cjui akili ndogo haongozi akili kubwa!!

Ungekuwa mbowe ungefanyeje
 
Sasa kwani lazima uwe maarufu ili ugombee?? Mbona safari hakuwa maarufu ndani ya chama ila alishinda??? Salum mwalimu je??? Mbona walipitishwa na hawakuwa na majina hiyo sio sababu kma wwe unaona hawana ushawishi basi jua wengine waliridhika na uongozi wa mbowe
So mtoe MTU chochoroni umlete eti agombee pathetic mnamndanganya nan

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbowe anasema watakufa na lwakatare ila zitto anasema wamtose

Chama kinasema madiwani watimuliwe zitto anasema wakomae atawalinda

Chama kinasema hakimtambui kikwete ila zitto akamtambua na kubaki bungeni

Chama kinasema M4C muhim yeye zitto anasema hakuchaguliwa kuzunguka majukwaani

Sugu anatimuliwa bungeni kiuonevu wapinzani wote wakatoka zitto akabaki eti HAKUITWA KUFANYA VURUGU

Unajua kuna mambo yanaudhi hata wwe usingemvumilia yaani kila kitu anaenda tofauti na chama ssa kwanni asisuse tu kuliko kukigawa chama nakumbuka kuna siku aliwaambia wabunge wa CHADEMA wote wa kiislam wasikubali kumsusia kikwete kwa maelekezo ya KAFIRI!!!

Mara cjui akili ndogo haongozi akili kubwa!!

Ungekuwa mbowe ungefanyeje
Ndio nakwambia mbowe anataka watu wote wawe kama yeye hii ni hatar sana kwa nn ajione anaakili kuliko wote

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Una ushahidi imepangwa??? Yaani kila ajali imepangwa??? Watanzania bhana kwahiyo na wwe umekuwa mchambuzi wa FORENSIC INVESTIGATION??? kazi kwelikweli
Kuna history kubwa kwa matukio kama haya kwa watu wenye ugomvi na mbowe maana Dada yule alifungua kesi ya mirathi dhidi yambowe
 
Ni yaleyale sawa na Nyerere kuongoza TANU/CCM kwa miaka 34 mfululizo. Sidhani kama ukomo wa kuongoza chama ni issue kama ule wa kuongoza nchi.
Ukiwa na tabia ya kuchezea maandiko yaliyowekwa na watangulizi wako, kuna hatari ukaichezea katiba ya nchi pindi ukibahatika kushika dola. Haya ndiyo mashaka ya walio wengi
 
Km kuna kipindi mbowe anahitajika cdm ni sasa kuliko mda wowote ule. Na cdm iwe makini na propaganda za ccm za kumwondoa mbowe kwasababu kwao anaonekana kisiki kisichowezekana
 
Chahali siyo mwana CHADEMA, haya anayosema wala hayamuhusu, umbea umbea tu
 
Demokrasia ndani ya Chadema ni yakushangaza nje tunahubiri demokrasia ndani hakuna demokrasia.
 
Demokrasia ya kweli kuanzia ndani ya vyama vya siasa hapa bongo ni zero, hivyo tuendelee na porojo tu za kutaka demokrasia ndoto
 
Back
Top Bottom