Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Na unaamini kabisa kuwa Mbowe akianguka (sijui ukimaanisha kivipi) basi na CHADEMA itakufa? Hiyo si ndio ilipaswa iwe furaha kwa CCM? Why then shoot Tundu Lissu instead?
Nilifikiri unafanya mjadala huru, kumbe uko kutetea chama zaidi? Take care
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Mkuu Pascal Mayalla huwa unaheshimika sana hapa jukwaani na muda mwingine huwa unaongea kwa mafumbo lakini hapa Sidhani kama unaongea kwa parables maana upo clear kuwa CHADEMA imefuta kipengele cha uongozi.

Hili swali aliwahi uliza Nape humu jukwaani na akajibiwa na Dr slaa pamoja na JJ Mnyika kwa hoja na nyaraka kwamba kipengele cha ukomo hakikufutwa ila katika kusaka maoni ya kutunga katiba mpya chini ya Prof Baregu suala hilo halikuwekwa na wanachama.

HIVYO BASI unapojenga hoja kuhusu suala hili usiseme kilinyofolewa bali sema katiba mpya haijazungumzia. Maana mtu anaweza dhani ilifanyiwa amendment ikafuta hiko kipengele.

Pascal upo credible so una uwezo wa kutengeneza au kuharibu so kabla hujachangia lolote keep your facts straight!!

Ni hayo tu mkuu wangu
Mkuu Zitto jnr, kwanza asante for much respect.
Utungaji katiba is a process, kila kilichokuwepo kwenye katiba ya mwanzo, kilikuwepo kwa sababu, unapotunga katiba mpya, kila kitakacho ondolewa lazima kijadiliwe with minutes written down.

Katika huo utunzi wa katiba mpya hakuna minutes zozote kuhusu kipengele hicho, as if it's an oversight, kwa taarifa kipengele hicho ni moja ya misingi mikuu kwa Chadema kuitwa Chama cha Demokrasia, how can katiba ya Chadema iwe silent?.
P
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Demokrasia ina misingi 11 na suala la ukomo halijawahi kuwepo kwenye hizo kanuni.
Ukomo haupo ili mtu atawale milele bali ukomo haujawekwa ili kutoa fursa kwa kiongozi anayefaa kuweza kugombea tena bila kuzuiwa kwa kigezo cha kwamba muda wake umepita hata kama uwezo anao.

Kikubwa zaidi afuate sheria,awajibike,afikie malengo aliyowekewa,ahojiwe na kudhibitiwa na apitishwe kwa uchaguzi huru na haki basi huyo kafanikisha demokrasia.

Ingekua mbowe kakaa bila chaguzi hapo katikati kweli ningesema ni dikteta ila kura zilipigwa na akashinda bila malalamiko ni demokrasia kubwa imefanyika.

Hivyo tusitumie nguvu kwenye ukomo bali tuangalie je anafuataga katiba ya chama?? Kuna chaguzi huru?? Kuna uwajibikaji?? Hayo ndio yenye mashiko kuliko hoja ya kuokoteza kama ukomo!!

Cc Molemo Pascal Mayalla
 
Asant kwa kuungana na MKULIMA kupinga ukomo wa uongozi. Tumpe sapoti kesi yake itakapotajwa.
 
Asant kwa kuungana na MKULIMA kupinga ukomo wa uongozi. Tumpe sapoti kesi yake itakapotajwa.
Yes hakuna shida hata wakiondoa ukomo urais JMT as long as kutakuwepi tume huru na uchaguzi huru na haki basi Rais anaweza tolewa tofauti ingekua kuondoa ukomo ina maana hakutakuwa na chaguzi yeyote hapo kati.
 
Kuna watu wengine Akili zao zinawatosha wenyewe mimi nilidhani wangemwaga Povu kwa ccm kutawala kwa mkono wa Chuma tangu Uhuru
Kumbe hiyo kwao sio Shida ni Mwenyekiti wa Chama duh...
Hao ni lumumba wanatumwa ni ujinga kiwango cha zege,
 
It is a new normal mtu au wapambe kutamani kiongozi mmoja atawale milele yote. Wanaompigia kelele Mbowe ndio haohao wapo busy kushangilia mikakati ya watu kumfanya Magu atawale miaka mingi ijayo.
 
Mwenyekiti tuna mjaji kutokana na kazi zake za administration pro and cons za administration yake, sasa by formative and summative evaluation anaonekana Mbowe anafaa sana.
 
Back
Top Bottom