zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,534
- 40,575
Sasa kwani ni mara ya kwanza hata CCM sijawahi ona mwenyekiti akipambanishwa na mtu wala makam wake wa pande zote mbili za muungano na sababu kuu ni hiyo hiyo kuepuka siasa za makundi na hicho ndio alichojibu polepole sasa kwanni kwa CCM iwe sawa ila kwa upinzani ndio udikteta!!!!Unafiki hautakuweka huru. Kuna kipengele ndani ya katiba ya chadema iliyopita au ya sasa iliyoelekeza wazee wamshauri ZITTO ajitoe kwebye uchaguzi wa 2009 kwa kisingizio cha kukigawa chama? Hoja ya kugawa chama na hanunuliki ndiyo tochi mpya ya kuvuruga mifumo ya chaguzi za haki ndani ya chama. Mapenzi mliyonayo kwa watu furani ndani ya chama hicho ndiyo yanayopelekea chama kupoteza mvuto mbele ya jamii. Naomba nikwambie,
Huyo zitto alishauriwa na wazee sio mbowe ila ccm nakumbuka shibuda alisimama kupambana na kikwete wote tunajua kilichomkuta!! Ila upinzani miaka yote uenyekiti uwa anapambanishwa watu zaidi ya wawili sasa sijui mpaka zitto angegombea ndio inakuwa demokrasia!!!
Ngoja nikwambie chadema imefika hapo sababu ya maridhiano na kuepuka makundi ila CCM NCCR CUF na ACT zimepitia migogoro mizito zilizotishia kuuwa vyama hivo na vingine vimekufa tayari sababu ya siasa za makundi ndio maana zitto aliposepa aliondoka mwenyewe hakugawa chama na slaa pia na leo hata lisu na mnyika wakisepa wataondoka wenyewe sababu CHADEMA imewekewa msingi wa kutokuwa na siasa za kuabudu watu na makundi kwahiyo kma ww unaona sio demokrasia mtu kushauriwa ajitoe basi shauri yako ila kwa sisi wanachadema imetusaidia kufika hapa tulipo kuua makundi