Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Ndio mnavyojifariji hivyo sio! Basi acheni kupiga kelele namambo yanayofanywa na JPM kama ndo uelewa wenu uko hivyo.
Anavunja sheria na katiba lazma apigiwe kelele, hivi hivi asingepigiwa kelele, unahisi mambo gani hasa ambayo mpaka yaliyofanyika na yakaleta matokeo chanya zaidi ya tengua na chagua? Mimi mpaka sasa sijaona, tunasubiri miaka mi5 iishe tuone tuone, labda itakuwa imeonekana, lakini kwa kulazimisha ati mbowe atoke kama katiba yao inasema hivyo kuwa mwenyekiti akae kuda flani, huwezi ingilia mambo yao, unaumia nini,
 
Mrema, Lipumba, Cheyo na Mbatia mwenyeviti toka mimi sijaanza la kwanza mpaka leo nimekuwa babu, mbona hamuwasemi? shame on you
Ndiyo maana vyama vyao vimekufa, kwa hiyo unataka chadema ife kwa style hiyo?
Binadamu tunaishi kwa kubadilika, usipobadilika mazingira au wakati vitakubadilisha!
 
Ndiyo maana vyama vyao vimekufa, kwa hiyo unataka chadema ife kwa style hiyo?
Binadamu tunaishi kwa kubadilika, usipobadilika mazingira au wakati vitakubadilisha!
Kwahiyo wewe mlumumba ndo unauchungu saana na cdm??
 
tatizo lenu mnafikilia kwa kutumia makalio,hivi huyu Mbowe huwa anajiptisha au ikifika muda waliojiwekea wanapiga kura naye ana haki ya kugombea ndipo hushinda wenzie,taarifa iliyopo ni kuwa nyie mnalipwa hela ili kufukia inshu ya katiba na mnajua Mbowe ndio anawanyima usingizi kwanii hanunuliki kama hao takataka wengine miliowanunua na mjue kuwa TL atachukua nafasi yake.Hivyo endeleeni kuwa wajinga nakutumiwa kama toilet paper.
Ndio maana hawa mazuzu walimmiminia risasi TL..., wanaona kabisa kua yeye ndio mrithi wa Mbowe..., na HANUNULIKI vile vile...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Duuuh..., kweli Mbowe ni kiboko ya CCM.... [emoji216] [emoji196] [emoji244]
 
Swali: Demokrasia gani haiainishi ukomo wa uongozi wa mwenyekiti?

Ni kwa mda gani comrade Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chama?
Hii katiba labda inaweza kuwa kama ile ya Vatican haina kikomo cha papa hadi afe au aamue mwenyewe kupumzika kwa sbu ya afya yake.

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Shughulikia mambo ya chama chako,toka lini ccm wakatoa ushauri mzuri kwa chama cha upinzani?Hiyo janja yenu ya kutaka kuwagombanisha chadema ni ya watu wenye wingi wa upumbavu.
 
Billicanas hajaporwa ni kujigeuzia mali ya umma kuwa ya kwake kwa kutegemea huruma za wananchi! Eti Mwenyekiti afu hutaki lipa kodi!
Suala la kujichukulia maamuzi ya kulima kwenye catchment area siliungi mkono hata kidogo.
Suala la muundo wa upatikanaji kiongozi lisikupe shaka ni desturi ya chama kupokezana vijiti kila ufikapo ukomo wa uongozi na inafahamika hivyo na iko wazi katika katiba ya chama!

HOJA: Niambie uongozi wa CHADEMA katika nafasi ya uenyekiti ni miaka mingapi mingapi kwa muhula mmoja?
Ni lini amewahi itisha hata uchaguzi wa uongo uongo ili mpige kura ya kuchagua au kupendekeza mwenyekiti?
NI muundo upi wa demokrasia unayoizungumzia mliyoitumia kumpitisha LOWASA kuwa mgombea wenu wa uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA kwa ujumla?
Na yale majitu mawili yaliyopewa nafasi ya kugombea ubunge yalipitishwa na taratibu ipi ya katiba yenu?Acheni kujitoa ufahamu.
 
Nyerere alikuwa MWENYEKITI wa chama kwa miaka mingapi?
 
Utamchoka vipi mwenye mali? Hapo ni sawa na kusema umemchoka Kakobe hutaki awe Askofu wakati kanisa ni mali yake.
Kwahiyo hao wapiga kura ni mali ya mbowe??? Ilihali wengine ndio hao wanaenda CCM?? kama ni mali yake kivp wasaliti waende ccm???

Kama wanachama bado wanamtaka basi ataendelea kuwa mwenyekiti ilihali katiba inaruhusu na chaguzi ni huru na haki sasa sijui kinachowauma ccm ni nini??
 
Mwwnyekiti wa kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, Mwenyekiti wa pili ni Bob Makani, Mwenyekiti wa tatu ni Freeman Mbowe na ndiye mwenyekiti mwenye mafaniko zaidi ya wote, ni kwa nini huyu anawanyima usingizi?

Mmepora Billicanas hajaunga mkono juhudi za Magufuli, mmeharibu green house yake Hai bado hataki kuunga mkono juhudi za Magufuli sasa mnaingilia hata maamuzi ya chama chake, je mmewahi kuwauliza ccm ni kwa nini haifanyi uchaguzi kupata uongozi wa ngazi ya Taifa? Au yale maigizo yanayofanyika Dodoma ya mgombea mmoja kupata 100% kwa 100% ndio uchaguzi? Ni lini ccm itajifunza kwa ANC jinsi inavyoendesha chaguzi za kweli na za wanachama kushindana kugombea uongozi?
Onyesha na muda waliotumikia.
 
Unafahamu tofauti kati ya CHADEMA NA CUF?-- Chadema kuna NENO " DEMOKRASIA" hapo ndipo watu tunashangaa hili neno linahusu mtu mmoja tuu au nikwa ajili ya watu?. CUF hakuna mtu wa kuuliza maana hawana NENO "DEMOKRASIA" ndiyo maana unakuta viongozi wao ni walewale bara na visiwani... ni viongozi wa milele hadi wao watakaposema TUNANG'ATUKA. Think BIG
CCM mbona ipo madarakani sababu ya tume mbovu na dola?
 
Back
Top Bottom