Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Ni kama Magufuli alivyowashika..mnaimba kila nyimbo mwaka huu..tatizo mko off- key.
Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Katiba ya chadema IPI maana zipo mbili ya mbowe na ile halisi yenye kuonesha ukomo wa madarakaDikteta Ni mtu yeyote anaesigina Katiba! Niambie Mbowe kasigina Katiba ipi? Wenzako washafungua shule we naona unatafuta Ada hapo Lumumba!
Chagua inayokupendeza!Katiba ya chadema IPI maana zipo mbili ya mbowe na ile halisi yenye kuonesha ukomo wa madaraka
Nyie mmeongelea ukomo hamjasema katibaUnajua katiba ya ccm ilikuwa inasemaje kuhusu muda au na nyie bado mnatumia katiba ya mwaka 77
Mkuu hivi leo hii pale bungeni tukipeleka mswada kwamba rais aongezewe muda miaka 10, kwa wingi wa wale wabunge waliokaririshwa kulinda maslahi yao, wakaipitisha hivyo, utakubali kuwa ni demokrasia? Am just imagining kuwa muda huo hao wajumbe waliposema isiwe na kikomo kuna watu walikuwa na maslahi yao binafsi, na nina imani kuwa saa hizi kuna wengine wanatamani isiwe hivyo iwe ya kuitisha uchaguzi kila baada ya muda fulani, simanishi kwamba wamtoe Mwenyekiti bali kama anakubalika na anapitishwa kila uchaguzi ukiitishwa ingependeza zaidi. Lkn isiwe kwamba tangu achaguliwe hadi siku aamue kutoka.Sasa kma katiba ya chadema ambayo wanachama hawakutaka ukomo wa mwenyekiti je mbowe akiitumia hayo maamuzi yao nayo sio demokrasia???
Kama wanachama kwa ''overwhelming majority'' walitaka kusiwepo ukomo je huoni anachokifanya mbowe ndio kuwasikiliza na kutimiza masharti ya demokrasia kwamba WENGI WAPEWE
CHADEMA inakatiba mbili ile halisi na ile mbowe na genge lake waliyofanyia ufisi na kuisambaza kuwa ndio toleo jipya na kubadili vipengereNyie mmeongelea ukomo hamjasema katiba
Maana kma issue ni katiba..... Katiba ya chadema haiweki ukomo sasa udikteta wa mbowe ni upi ilihali anatumia haki zake ndani ya katiba kugombea vipindi 3
Kwa taarifa yako, Mbowe ndio keshafika haondoki Leo wala kesho. Mbowe hanunuliki, tena ni kichomi chenu mpaka mfe.Tunaanza na Mbowe kwanza wote wanafuatia kwani ni wale wale tu
Eeeh kama ikipelekwa bungeni na ukapitishwa ni demokrasia ndio if at all wamepiga kura bila shinikizo!! Hapo kinachofuata ni uchaguzi huru na haki na ndipo sauti za wananchi zitahusika kma zimeafiki kuongezwa kwa muhula ama lahMkuu hivi leo hii pale bungeni tukipeleka mswada kwamba rais aongezewe muda miaka 10, kwa wingi wa wale wabunge waliokaririshwa kulinda maslahi yao, wakaipitisha hivyo, utakubali kuwa ni demokrasia? Am just imagining kuwa muda huo hao wajumbe waliposema isiwe na kikomo kuna watu walikuwa na maslahi yao binafsi, na nina imani kuwa saa hizi kuna wengine wanatamani isiwe hivyo iwe ya kuitisha uchaguzi kila baada ya muda fulani, simanishi kwamba wamtoe Mwenyekiti bali kama anakubalika na anapitishwa kila uchaguzi ukiitishwa ingependeza zaidi. Lkn isiwe kwamba tangu achaguliwe hadi siku aamue kutoka.
Mbowe yuko sawa kabisa kulingana na katiba iliyopo ya chadema wala siyo udikteta, katiba inamlinda.Nyie mmeongelea ukomo hamjasema katiba
Maana kma issue ni katiba..... Katiba ya chadema haiweki ukomo sasa udikteta wa mbowe ni upi ilihali anatumia haki zake ndani ya katiba kugombea vipindi 3
Acha kuongea usiyoyajua..... Mnyika na slaa walishakuja humu JF wakajibu kila kitu kuhusu katiba ya CHADEMA hadi uzi mkafunga na maswali yote yalijibiwa hata la huyo msaliti mwigambaCHADEMA inakatiba mbili ile halisi na ile mbowe na genge lake waliyofanyia ufisi na kuisambaza kuwa ndio toleo jipya na kubadili vipengere
Pitia waraka wa mwigamba upo humu
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Sio katiba inamlinda ila kura huwa zinapigwa na chaguzi huru na haki....... Na kila chaguzi ameshinda sasa kma katiba inamlinda na wanachama hawamtaki angekuwa mwenyekiti leo??Mbowe yuko sawa kabisa kulingana na katiba iliyopo ya chadema wala siyo udikteta, katiba inamlinda.
Mkuu, labda wamekuwa waoga, make inawezekana ukionekana una hoji utachukuliwa msaliti, nasikia huko nyuma kuna watu kama aki a Zitto, Wangwe walianza kuhoji wakapnekana kuwa wasaliti, ila ni kweli tunamshangaa Magu bure kuwa mwenyekiti wa ccm kwa kugombea mwenyewe, basi mbowe pia anagombea mwenyewe, ninachoona kwenye hivi vyama ni uoga, mtu akijitokeza kuchuana atachukuliwa msaliti na kufukuzwa, itokee mfano ule uchaguzi wa ccm aliochaguliwa magu kwa asilimia zote, nape angesema kusimama naye, nadhani wangemmaliza na kumfukuza chamani kabisa, hivi vyama ndani yake havijawa huru kuwa na demokrasia ya kuhoji, ukihoji lazima uwe msaliti.Eeeh kama ikipelekwa bungeni na ukapitishwa ni demokrasia ndio if at all wamepiga kura bila shinikizo!! Hapo kinachofuata ni uchaguzi huru na haki na ndipo sauti za wananchi zitahusika kma zimeafiki kuongezwa kwa muhula ama lah
Sasa kwa CHADEMA katiba ilipitishwa na wanachama kwa wingi na toka hapo sijaskia wakitaka katiba ifanyiwe marekebisho na pia kma wangekuwa hawamtaki mbowe wangemtoa kupitia kura za 2013 alipokuja kuwania muhula wa tatu..... Sasa demokrasia ni ipi kwako??? Kama wanachama wamesema hatutaki ukomo na bado wanamchagua huyo mwenyekiti ni kipi hapo kinamfanya mbowe dikteta embu nisaidie hapo
Sio uoga sometimes kama chama kinataka kufika mahali lazima kivunje makundi kwa mfano zitto akipambana na mbowe alafu mbowe akashindwa unakuta ingezaa makundi pia zitto naye angeanguka wangeona kaibiwa kura n.k yaani kungetokea mgogoro tu ndio maana hata ccm kuepuka hayo ya chama kugawanyika wanahofu kuweka magufuli agombee na mtu pia hata upinzani huwa wanaepuka makundi ndio maana ni vizuri kiongozi apatikane kwa maridhiano sasa zitto kma angeamua kusubiri kama mnyika sasa hivi angekuwa kachukua nafasi ya mashinji na angekuwa mgombea urais ajaye 2020 ila haraka zake ndio zilimponza ila sioni kosa wazee kumzuia kugombea maana ingeleta mpasuko ndani ya chamaMkuu, labda wamekuwa waoga, make inawezekana ukionekana una hoji utachukuliwa msaliti, nasikia huko nyuma kuna watu kama aki a Zitto, Wangwe walianza kuhoji wakapnekana kuwa wasaliti, ila ni kweli tunamshangaa Magu bure kuwa mwenyekiti wa ccm kwa kugombea mwenyewe, basi mbowe pia anagombea mwenyewe, ninachoona kwenye hivi vyama ni uoga, mtu akijitokeza kuchuana atachukuliwa msaliti na kufukuzwa, itokee mfano ule uchaguzi wa ccm aliochaguliwa magu kwa asilimia zote, nape angesema kusimama naye, nadhani wangemmaliza na kumfukuza chamani kabisa, hivi vyama ndani yake havijawa huru kuwa na demokrasia ya kuhoji, ukihoji lazima uwe msaliti.
Thetallest unalidhika na muda wa CCM mamlakani??,Ni kweli CCM si kikwazo kwa maendeleo ya Tanzania kwa sasa???, duh!!!!.Mshana unalidhika na muda wa mwenyekiti mamlakani?, ni Kweli Mbowe si kikwazo kwa maendeleo ya chadema Kwa sasa?, du!
Nimeridhika na hii hoja yako ya mwisho.Sio uoga sometimes kama chama kinataka kufika mahali lazima kivunje makundi kwa mfano zitto akipambana na mbowe alafu mbowe akashindwa unakuta ingezaa makundi pia zitto naye angeanguka wangeona kaibiwa kura n.k yaani kungetokea mgogoro tu ndio maana hata ccm kuepuka hayo ya chama kugawanyika wanahofu kuweka magufuli agombee na mtu pia hata upinzani huwa wanaepuka makundi ndio maana ni vizuri kiongozi apatikane kwa maridhiano sasa zitto kma angeamua kusubiri kama mnyika sasa hivi angekuwa kachukua nafasi ya mashinji na angekuwa mgombea urais ajaye 2020 ila haraka zake ndio zilimponza ila sioni kosa wazee kumzuia kugombea maana ingeleta mpasuko ndani ya chama
Otherwise vyama vingeunda mfumo ambao anayeanguka post flani anapewa post ingine hii ingesaidia kuua makundi..... Mfano ukikosa uenyekiti upewe ukatibu mkuu nafkiri ikiwa hivyo hata CCM au CHADEMA watajitokeza wengi zaidi kugombea uenyekiti tofauti na sahivi wanapohofu mgawanyiko especially mmoja wao akianguka
Wapi ulimuona anagombea?Kama katiba inamruhusu kugombea ulitaka asigombee??
Kma wanachama hawamtaki kivp walimpigia kura???
Ukomo sio demokrasia ili jinsi ya kupata uongozi ndio tungepima demokrasia...... Rwanda kuna ukomo wa madaraka ila je ni lini kagame kashinda kwa demokrasia??
Tanzania kuna ukomo wa Muda wa Rais madarakani ila ni lini Rais wa CCM tokea vyama vingi ukiachana na chaguzi mbili za 2000 na 2005 wameshinda kwa demokrasia???
Au kisa kuna ukomo ndio kuna demokrasia?? Mnafurahisha
Mbona wewe haujawahi kumuuliza Baba yako kwa nini kamung'ang'ania mama yako toka awe nae hadi leo nawe unaitwa baba, Unadhani hakuna wanaume wengine wanaoweza kum drive mama yako?????.Tunaanza na Mbowe kwanza wote wanafuatia kwani ni wale wale tu
MmmmhhhhhMbona wewe haujawahi kumuuliza Baba yako kwa nini kamung'ang'ania mama yako toka awe nae hadi leo nawe unaitwa baba, Unadhani hakuna wanaume wengine wanaoweza kum drive mama yako?????.
2014 mlimani city pale nlikuwepo na kura nilimpa na hakugombea peke yake alikuwa na wapinzani wengine hivyo alipitishwa kwa demokrasia sasa udikteta ukwapi??Wapi ulimuona anagombea?
Mshana unalidhika na muda wa mwenyekiti mamlakani?, ni Kweli Mbowe si kikwazo kwa maendeleo ya chadema Kwa sasa?, du!