CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,958
- 9,518
Leteni kinacho zungumzwa
:rockon:
umekaa pande ipi mkuu angalau nikutupie salam ya pipozi power[/QUOTE
Mkuu niko upande huu wenye barabara iendayo KISS Club,yaani baada ya michano ya Mbowe lazima nikashushie na ya baridi]
Leteni kinacho zungumzwa
Yaani mnakaa mnawaza maandamano tu.Mtu mwenyewe Form 4 si bora ajiendeleze kielimu
Matola wacha dhihaka bwana. ubongo wa mtu ukioza, huyo hatokuwa mtu tena. hao ni wazee wetu, tushukuru Mungu kuwa umri wao umeenda sana, na uchaguzi wa 2015 wapiga kura asilimia 70 tutakuwa tuliokulia kwenye mfumo wa mageuzi, na wengine ndio waliohusika kuleta mageuzi hayo. fikiria tu, 240,000s wamefeli kidato cha nne, hawa ukiwauliza kwa nini, watakwambia mtaala mubovu, walimu hatuna, vitabu hatukuwa navyo, maabara hakuna. ka hiyo moja kwa moja wataichukia CCM na kupenda chama cha kuleta mageuzi. Cha msingi pamoja na kufanya mikutano ya hadhara, vijana wahamasishwe kujiandikisha, na wafuatilie taarifa zao kama ziko sahihi, na mikutano ifanywe vijijinizaidi ya hata mijini, kwani mijini tunajua zaidi kuliko kule vijijini.Hawa hawajui hata Rais wa nchi ni nani, watu duni ndio mashabiki wa CCM maana mpaka Bongo zao ni duni na zimeoza, wasamehewe bure.
Duhhh, hii ni ya leo leo ya 2015 itakuwaje?Dah...!
....maneno ya mkosaji,teh tehHata waganga wa kienyeji wakimwaga dawa zao uwanjani watu wanajaa hakuna jipya.
Ndio maana tuna decentralize, ili tufike nyumba hadi nyumba huko vijijini.Matola wacha dhihaka bwana. ubongo wa mtu ukioza, huyo hatokuwa mtu tena. hao ni wazee wetu, tushukuru Mungu kuwa umri wao umeenda sana, na uchaguzi wa 2015 wapiga kura asilimia 70 tutakuwa tuliokulia kwenye mfumo wa mageuzi, na wengine ndio waliohusika kuleta mageuzi hayo. fikiria tu, 240,000s wamefeli kidato cha nne, hawa ukiwauliza kwa nini, watakwambia mtaala mubovu, walimu hatuna, vitabu hatukuwa navyo, maabara hakuna. ka hiyo moja kwa moja wataichukia CCM na kupenda chama cha kuleta mageuzi. Cha msingi pamoja na kufanya mikutano ya hadhara, vijana wahamasishwe kujiandikisha, na wafuatilie taarifa zao kama ziko sahihi, na mikutano ifanywe vijijinizaidi ya hata mijini, kwani mijini tunajua zaidi kuliko kule vijijini.
Yaani mnakaa mnawaza maandamano tu.Mtu mwenyewe Form 4 si bora ajiendeleze kielimu
Yaani mnakaa mnawaza maandamano tu.Mtu mwenyewe Form 4 si bora ajiendeleze kielimu