CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

Dah hapa furahisha ni nyomi mbayaaaa! Mbowe sasa anatiririka
 
Sasa nimeshaamini muda si mrefu nitakua nakaribia ile nchi ya ahadi!
 
Kweli nimekubali "kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza"

Hao wote ni wapenda mabadiliko waliohudhuria mkutano kwa hiari yao wenyewe bila kulazimishwa. Kinacho nifurahisha zaidi ni kwamba "the message has been sent and delivered", hata kama mkuu wa kaya atavunga haoni kinachoendelea ndani ya Rocky city, ujumbe ataupata kwa kupitia mshauri wake mkuu the Ritz- moko.
 
Wakoloni weusi sasa wakae chonjo. Wenye nchi yao wameamka.
 
na ikumbukwe kuwa hawa watu hawajasombwa na malori
 
Hawa hawajui hata Rais wa nchi ni nani, watu duni ndio mashabiki wa CCM maana mpaka Bongo zao ni duni na zimeoza, wasamehewe bure.

attachment.php

Mkuu Matola, democracy is about choices, otherwise tungebakia chama kimoja. Na hawa wazee kama wameamua kubaki MAGAMBA sio hekima kuwaita watu duni, this is a bit low from you. Let the sleeping dogs keep sleeping.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom