CHADEMA yasogeza mbele Mkutano wa Jangwani

This man Pasco
Mkuu nilikwambia unikumbuke kwenye ufalme wa the only one,tule mafao sote,hutaki kunikumbuka. Hebu tuheshimiane Pasco,hayo matunda ya Mtukufu mtarajiwa,EL tule wote. Nami namuunga mkono.
Ukwee, amini usiamini, mimi Pasco wa jf, simo katika ufalme wowote!.
Pasco.
 
Waoga kuanzia kwa zito mpaka kwa ccm mbowe siku zote anapewa pesa na nimrod mkono moja ya masharti ni hayo asifanye mkutano ikiwa ccm wanafanya yao

unapoandika hivyo una unadgani jf ni matahira kama wewe..
 
una MAANA GANI ?
Vipi hujanielewa, au huamini huo ndio mpango wenyewe mzima!. We subiria subiria siku zikikaribia labda utanielewa!, kuanzia sasa anza kufafuatilia viongozi wako ujue wanasema nini kuhusu mtu huyu ndipo sasa utanielewa nilikuwa na maana gani!.
Pasco
 
siwezi kusubiri maneno ya mnafiki yatimie..
 
CDM wanampa nafasi Lowassa aendelee kuisambaratisha CCM!!!
 
Pasco hukumbuki El kutajwa katika list of shame leo waje wampitishe mgombea chadema,wewe na chadema mtakuwa mmevurugwa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwana, Dompo ndio ilikuwa inaishia ishia ila pia ukweli wenyewe ndio huo!. From now watch very careful Chadema steps vs El, you'll find them very accommodative!, ndipo utanielewa!. Wengi wanadhani juhudi zote za huyu jamaa yangu ni lazima agombee kupitia CCM!, no way!, amepania lazima agombee kupitia popote!. Richmond ni zigo la watu, kama alijitolea kulibeba ili CCM iokoke, then sasa ndio anmalitumia zigo hilo hilo kama ransom ya au CCM imsimamishe, au awabwagie zigo lao, na kutambaa!, mwelekeo ni Chadema!. Pia sio vibaya tukirudi nyuma na mbele!, kwani Chadema inae mgombea yoyote mwenye kuchagulika?, yaani mwenye angalau "presidential look?!", ili mtu achaguliwe president, must first have "presidential look!".
NB. Kama nilizilalia, inawezekana nimeamka nazo!.
Pasco.
Waswahili wanasema, dalili ya mvua ni mawingu.

Dalili hii nimeanza kuiona kwenye Mkutano wa Dr. Slaa uliofanyika Kyela. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CHADEMA kuanza kubadilisha kauli zao katika swala ambalo ndiyo nguzo ya ukuaji wa chama kwa haraka nchini.

Mh. Lowassa alikuwa namba tisa kwenye list za Mafisadi nchini iliyotajwa Mwembe Yanga na Dr. Slaa tarehe 25th Sep 2007.

Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameanza kuja na kauli hii,
Sugu alisema kuwa bodaboda wanapaswa kuachana na Lowassa kwani ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho hakina msaada kwao.

"Akiachana na CCM, akaamua kwenda chama kingine basi mnaweza kumuunga mkono ila akibaki CCM achaneni naye," alisema Sugu wakati akimzungumzia Lowassa, ambaye hivi karibuni alishiriki katika bonanza lililoandaliwa na Bodaboda jijini Dar es Salaam.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/592477-chadema-bodaboda-achaneni-na-lowassa.html
List yenyewe ya mafisadi hii hapa,
Naomba niwakumbushe tu orodha ya mafisadi kama ilivyoorodheshwa na Dr. Slaa katika mkutano uliofanyika Mwembe Yanga, Temeke tarehe 15 Septemba, 2007.

1. Dr. Daudi T.S. Balali - sasa marehemu ?
2. Andrew J. Chenge - mgombea Ubunge kupitia CCM, Bariadi.
3. Basil P. Mramba - mgombea ubunge kupitia CCM, Rombo.
4. Gray S. Mgonja - Kaibu Mkuu mstaafu, Hazina.
5. Patrick P. R. Rutabanzibwa - Katibu Mkuu mstaafu ?
6. Nazir Karamagi - Waziri mstaafu.
7. Nimrod Mkono - mgombea ubunge kupitia CCM, Musoma vijijini
8. Rostamu Azizi - mgombea ubunge kupitia CCM, Igunga.
9. Edward Lowassa - mgombea ubunge kupitia CCM, Monduli.
10. Benjamin W. Mkapa - Raisi mstaafu, CCM.
11. Jakaya Mrisho Kikwete - mgombea Uraisi kupitia CCM

Kikwete kwa sasa ndiye mlinzi wao mkubwa na CCM ndiko waliko salama na wanakohifadhiwa - Kazi kwetu wananchi tarehe 31 October, 2010.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ya-mafisadi-list-of-shame-ya-mwembeyanga.html
Hili ukiliangalia kwa juu juu unaweza kuona siyo jambo zito lakini kwa CHADEMA katika macho ya wananchi wenye fikra pevu, hili ni jambo zito sana kwa sababu main theme ya CHADEMA hata kwenye ilani yao ya uchaguzi 2010 ni kupambana na ufisadi. Sasa fisadi papa anakuwa tu akiwa CCM na akitoka CCM anafaa kupewa madaraka!.

Are they serious?. This is fun!.

Sitashangaa hata ikiwa ni kweli kuwa wameamua kuahirisha mkutano Jangwani, Dar kwa sababu ya kupisha harambee ya Lowassa kwa bodaboda Dar es salaam.
 
Tuko pamoja vijana wangu,

hata kama ni usiku wa manane mbiu ya chadema ikilia tutaamka na 'maboxer' yetu ili tupokee maneno ya ukombozi kupitia chama chenye mpango wa mungu, chadema!

Utaamka we na nani? Unadhani kila mtu anaendekeza huu upuuzi?
 
CHADEMA kutoa platform kwa Lowasa ni game theory nzuri tu na hata Lowasa nae anajua kuwa CHADEMA inaweza kuwa back-up yake pindi Ki.kwete atampomgeuka rasmi na kuungana na wapinzani wake kwani kwa sasa wanaviziana na kutumia vibaraka tu kutoa matamko kwa kuogopa kuanzisha vita rasmi kwani Lowasa anaujua udhaifu wa jeykey na pia uchafu na usafi wake,anamsubiri achore msitari!!

Na ukweli usiopingika ni kuwa CHADEMA inahitaji kigogo/vigogo kadhaa ndani ya CCM ku-sail nao ili iwe rahisi kuliangusha jidudu CCM na hata pia vigogo wa CCM wanahitaji ku-alliance na CHADEMA ili kujilinda ndani ya CCM wasishugulikiwe au kutupwa nje ya jungu kuu na ndio maana 2005 Kikwete alishaomba kuja CHADEMA kama angekatwa,2010 Sita alikuwa mbioni pia sema tatizo unafiki unamzidi and this time Lowasa on the tactical move,so far Lowasa hatoinanga CHADEMA and vise versa is applicable,is just an art of war!!!
 
Mkuu Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.

Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.

PascoI
Ficha ujinga wako.......
 
Ukwee, amini usiamini, mimi Pasco wa jf, simo katika ufalme wowote!.
Pasco.

Sijapata kuwa na wasiwasi na uwelewa wako kaka Pasco! Kikubwa ambacho watu wengi wanashindwa kugundua kwako ni kwamba wewe ni mkweli na husukumwi na ushabiki.

Chadema kuacha kufanya mkutano wao Jangwani siku ya jumapili na badala yake wamepngia siku nyingine,sio kuwa ni wajinga!

Ni ukweli usiopingika kwamba mh Lowassa ndio wa kuiokoa au kuizika Ccm! Hata Chadema wanajua hilo na ndio maana hawataki kumvurugia Lowassa mipango yake ya kesho.
Lowassa sio tishio kwa Chadema,isipokua ni tishio kwa Ccm na viongozi wake. Km mtu haamini basi asubiri hadi mwishoni mwa mwaka huu!

Pasco mimi naungana na mtazamo wako.
 
Mkuu Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.

Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.

PascoI

Kuna wakati unapatwa na ugonjwa wa Le Mutuz!
 
Tumia akili wewe!!! Kuahirishwa kwa mkutano wa cdm hakuna uhusiano wowote na harambee ya Lowasa! Soma tena maelezo ya Makene!
 
Mkuu Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.

Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.

PascoI

kiongozi nimekusoma vizur, lakin sidhan kama ni sababu!
 
Back
Top Bottom