SIMBA45
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 573
- 165
Kwanini? Hapa anaingiaje?
katikisa nchi ndyo habari ya mujini
Kwanini? Hapa anaingiaje?
Tunaendelea kufuatilia or the chess continues?
Wanabodi, haya maneno niliyasema tarehe 31st January 2014 saa 20:55 usiku kumjibu Mkuu Tumaini Makene, kwenye uzi huu!. Nimeukumbuka uzi huu, kujikumbusha nilisema nini, nilijibiwa nini na nani, wako watu humu walinielewa, wako walionibeza, wako walionitukana, lakini hatimaye mwisho wa siku nini kilichotokea!. Naendelea kusisitiza humu, siku zote, ni ukweli tuu ndio utakaosimama mpaka mwisho!.
Pasco