CHADEMA yasogeza mbele Mkutano wa Jangwani

CHADEMA yasogeza mbele Mkutano wa Jangwani

Mkuu Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.

Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.

PascoI

mmmh! Pasco, Lowasa hawezi kuingia CHADEMA.
 
Sitaki kuamini wamemuogopa LOWASSA.....😀😀:sly::sly::sly::sly:😱😱😱:sly::sly::sly:
Kweli wame-prove failure
 
mmmh! Pasco, Lowasa hawezi kuingia CHADEMA.
Nothing is impossible under the sun!. Mimi ni muumini wa dhati wa falsafa ya Mwalimu Nyerere kuwa Rais bora wa Tanzania, atatoka CCM!. Japo tuko kwenye vyama vingi zaidi ya miaka 20 sasa, CCM ni chama kilichoota mizizi na kukomaa vilivyo, hakiwezi kung'olewa kirahisi rahisi hivi kama jinsi hii ambayo Chadema na CUF wanacheza makida makida tuu, hawawezi kuing'oa CCM!. Salama ya upinzani ni moja tuu, CCM imeguke mapande mawili!. Edward Lowassa is that opportunity, aendelee kumobilize wafuasi wake, CCM isimteue, alibwage lile zigo la Richmond na kutimkia Chadema, awe ndie mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, that is the only way, Chadema inaweza kuingia ikulu 2015, vinginevyo, 2015 ni CCM tena!.

Najua hizi kampeni na makundi ya umati wa watu, unawapa matumaini sana Chadema ya kukubalika, tatizo as it is of now, Chadema bado haina mgombea wa kuchagulika urais, yaani "presidential material!".
Pasco.
 
Tuko pamoja vijana wangu,

hata kama ni usiku wa manane mbiu ya chadema ikilia tutaamka na 'maboxer' yetu ili tupokee maneno ya ukombozi kupitia chama chenye mpango wa mungu, chadema!
NI Mungu gani huyo cdm! Na je wale wasioamini huyo Mungu wenu mnawachukuliaje. Ahaa! Kumbe ndio maana kumejaa wachungaji na mapadri,kumbe kuna mpango wa Mungu nyuma yake.Tuondoleeni huu upuuzi wenu huu,hiyo mipango ya Mungu wenu hukohuko Makanusani sio ikulu.
 
Baada ya 'kuruhusiwa' kufanyika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo ya mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi, chama kimesogeza mbele ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, ili kuziwezesha timu za OPD kwenda kwenye kata za uchaguzi katika mikoa hiyo.

Kwa hiyo badala ya kuhitimisha M4C- OPD Dar es Salaam, Uwanja wa Jangwani keshokutwa Jumapili, Februari 2, sasa itahitimishwa baada ya chama kufanya mikutano huko Kusini.

Taarifa rasmi ya uhitimishaji huo wa M4C-OPD, kwa maana ya tarehe, mahali n.k, zitatolewa baadae.

Asanteni

Makene

Operation ondoa zotto chamni
 
Makene,
Si ungesema tu kwamba mzee Lowassa atakuwa jijini Dar wakati huo na nyie kwa Lowassa ni sawa na kichuguu kujilinganisha na mlima Kilimanjaro?

Kweli Lowassa anatisha kama mpaka amesimamisha M4C ya CHADEMA.
Baada ya 'kuruhusiwa' kufanyika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo ya mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi, chama kimesogeza mbele ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, ili kuziwezesha timu za OPD kwenda kwenye kata za uchaguzi katika mikoa hiyo.

Kwa hiyo badala ya kuhitimisha M4C- OPD Dar es Salaam, Uwanja wa Jangwani keshokutwa Jumapili, Februari 2, sasa itahitimishwa baada ya chama kufanya mikutano huko Kusini.

Taarifa rasmi ya uhitimishaji huo wa M4C-OPD, kwa maana ya tarehe, mahali n.k, zitatolewa baadae.

Asanteni

Makene
 
CHADEMA watakuwa wameyaonea huruma ma CCM maana birthday yao ingedoda.

Samahani sana mdogo wangu Bramo, Chadema hawaihurumii CCM, bali wanaakili sana, wameogopa kuadhirika kwani siku hiyo pia Mhe JEMBE EDWARD LOWASA atafanya mkutano Dar na wana BodaBoda.

CCM wamempa Mhe luwasa jukumu la kuwa consolidate vijana wa bodaboda ili kupunguza makali ya CDM. Na Mhe Lowasa ameapa ya kuwa he will not rest until ame recover heshima yake kutokana n akipigo alichopata katika uchaguzi wa Arumeru, alipopoteza kitu cha ubunge baada ya kumsimamisha his son in law.
 
kumbe hata cdm wanaiogopa nguvu ya lowasa! Yaani pale wasingepata kijana hata mmoja kwa lowasa

Hiyo ni Technique ya CHADEMA kumpa mamvi more time kuchochea kuni.
Kesho ndo Death day ya Ma Gamba.
Mark my words.
 
Mkuu Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.

Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.

PascoI

Una Maruhani wewe, sio bure...
 
Mkuu Tumaini Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.
Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.
PascoI
Mda wote wewe unaweweseka na Lowasa tu mkuu??
una MAANA GANI ?
This man Pasco
Mkuu nilikwambia unikumbuke kwenye ufalme wa the only one,tule mafao sote,hutaki kunikumbuka. Hebu tuheshimiane Pasco,hayo matunda ya Mtukufu mtarajiwa,EL tule wote. Nami namuunga mkono.
Hapo tu ndio mimi huwa natofautiana na Pasco. hivi wakati unaandika hii post ulikuwa umeonja kidogo mkuu? maana weekend hii naweza kukuhukumu wakati sio kosa lako bali akili ilikuwa tayari iko corrupted!
Unamatatizo si bure wewe
Mkuu Mwana, Dompo ndio ilikuwa inaishia ishia ila pia ukweli wenyewe ndio huo!. From now watch very careful Chadema steps vs El, you'll find them very accommodative!, ndipo utanielewa!. Wengi wanadhani juhudi zote za huyu jamaa yangu ni lazima agombee kupitia CCM!, no way!, amepania lazima agombee kupitia popote!. Richmond ni zigo la watu, kama alijitolea kulibeba ili CCM iokoke, then sasa ndio anmalitumia zigo hilo hilo kama ransom ya au CCM imsimamishe, au awabwagie zigo lao, na kutambaa!, mwelekeo ni Chadema!. Pia sio vibaya tukirudi nyuma na mbele!, kwani Chadema inae mgombea yoyote mwenye kuchagulika?, yaani mwenye angalau "presidential look?!", ili mtu achaguliwe president, must first have "presidential look!".
NB. Kama nilizilalia, inawezekana nimeamka nazo!.
Pasco.
Vipi hujanielewa, au huamini huo ndio mpango wenyewe mzima!. We subiria subiria siku zikikaribia labda utanielewa!, kuanzia sasa anza kufafuatilia viongozi wako ujue wanasema nini kuhusu mtu huyu ndipo sasa utanielewa nilikuwa na maana gani!.
Pasco
siwezi kusubiri maneno ya mnafiki yatimie..
Ukwee, amini usiamini, mimi Pasco wa jf, simo katika ufalme wowote!.
Pasco.
Pasco hukumbuki El kutajwa katika list of shame leo waje wampitishe mgombea chadema,wewe na chadema mtakuwa mmevurugwa
Waswahili wanasema, dalili ya mvua ni mawingu.
Dalili hii nimeanza kuiona kwenye Mkutano wa Dr. Slaa uliofanyika Kyela. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CHADEMA kuanza kubadilisha kauli zao katika swala ambalo ndiyo nguzo ya ukuaji wa chama kwa haraka nchini.
Mh. Lowassa alikuwa namba tisa kwenye list za Mafisadi nchini iliyotajwa Mwembe Yanga na Dr. Slaa tarehe 25th Sep 2007.
Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameanza kuja na kauli hii,
Hili ukiliangalia kwa juu juu unaweza kuona siyo jambo zito lakini kwa CHADEMA katika macho ya wananchi wenye fikra pevu, hili ni jambo zito sana kwa sababu main theme ya CHADEMA hata kwenye ilani yao ya uchaguzi 2010 ni kupambana na ufisadi. Sasa fisadi papa anakuwa tu akiwa CCM na akitoka CCM anafaa kupewa madaraka!.
Are they serious?. This is fun!.
Sitashangaa hata ikiwa ni kweli kuwa wameamua kuahirisha mkutano Jangwani, Dar kwa sababu ya kupisha harambee ya Lowassa kwa bodaboda Dar es salaam.
CHADEMA kutoa platform kwa Lowasa ni game theory nzuri tu na hata Lowasa nae anajua kuwa CHADEMA inaweza kuwa back-up yake pindi Ki.kwete atampomgeuka rasmi na kuungana na wapinzani wake kwani kwa sasa wanaviziana na kutumia vibaraka tu kutoa matamko kwa kuogopa kuanzisha vita rasmi kwani Lowasa anaujua udhaifu wa jeykey na pia uchafu na usafi wake,anamsubiri achore msitari!!

Na ukweli usiopingika ni kuwa CHADEMA inahitaji kigogo/vigogo kadhaa ndani ya CCM ku-sail nao ili iwe rahisi kuliangusha jidudu CCM na hata pia vigogo wa CCM wanahitaji ku-alliance na CHADEMA ili kujilinda ndani ya CCM wasishugulikiwe au kutupwa nje ya jungu kuu na ndio maana 2005 Kikwete alishaomba kuja CHADEMA kama angekatwa,2010 Sita alikuwa mbioni pia sema tatizo unafiki unamzidi and this time Lowasa on the tactical move,so far Lowasa hatoinanga CHADEMA and vise versa is applicable,is just an art of war!!!
Ficha ujinga wako.......
Sijapata kuwa na wasiwasi na uwelewa wako kaka Pasco! Kikubwa ambacho watu wengi wanashindwa kugundua kwako ni kwamba wewe ni mkweli na husukumwi na ushabiki.

Chadema kuacha kufanya mkutano wao Jangwani siku ya jumapili na badala yake wamepngia siku nyingine,sio kuwa ni wajinga!

Ni ukweli usiopingika kwamba mh Lowassa ndio wa kuiokoa au kuizika Ccm! Hata Chadema wanajua hilo na ndio maana hawataki kumvurugia Lowassa mipango yake ya kesho.
Lowassa sio tishio kwa Chadema,isipokua ni tishio kwa Ccm na viongozi wake. Km mtu haamini basi asubiri hadi mwishoni mwa mwaka huu!

Pasco mimi naungana na mtazamo wako.
Kuna wakati unapatwa na ugonjwa wa Le Mutuz!
CHADEMA kutoa platform kwa Lowasa ni game theory nzuri tu na hata Lowasa nae anajua kuwa CHADEMA inaweza kuwa back-up yake pindi Ki.kwete atampomgeuka rasmi na kuungana na wapinzani wake kwani kwa sasa wanaviziana na kutumia vibaraka tu kutoa matamko kwa kuogopa kuanzisha vita rasmi kwani Lowasa anaujua udhaifu wa jeykey na pia uchafu na usafi wake,anamsubiri achore msitari!!

Na ukweli usiopingika ni kuwa CHADEMA inahitaji kigogo/vigogo kadhaa ndani ya CCM ku-sail nao ili iwe rahisi kuliangusha jidudu CCM na hata pia vigogo wa CCM wanahitaji ku-alliance na CHADEMA ili kujilinda ndani ya CCM wasishugulikiwe au kutupwa nje ya jungu kuu na ndio maana 2005 Kikwete alishaomba kuja CHADEMA kama angekatwa,2010 Sita alikuwa mbioni pia sema tatizo unafiki unamzidi and this time Lowasa on the tactical move,so far Lowasa hatoinanga CHADEMA and vise versa is applicable,is just an art of war!!!
Tumia akili wewe!!! Kuahirishwa kwa mkutano wa cdm hakuna uhusiano wowote na harambee ya Lowasa! Soma tena maelezo ya Makene!
kiongozi nimekusoma vizur, lakin sidhan kama ni sababu!
Mkuu Marire, kwani kutajwa kwenye list of shame ndio nini?!, kwa taarifa yako ile injection ya Nimrod Mkono na Rostam Aziz inaweza kuja kukutikana nayo ni "bonafide genuine!", kama dhambi kubwa ya EL ni Richmond tuu, hilo ni zigo la wenyewe, yeye alijitolea kulibeba tuu na ugombea wa CCM ndio asante yake itarajiwayo, kinyeme cha hapo, atawabwagia zogo lao puu chini!, linakwenda na CCM yake!, jamaa ana cross to Chadema, then huyooo mpaka Ikulu! and this is the only way kwa Chadema kuingia Ikulu.
Chini ya hapo, Chadema haina mtu yoyote wa kuwaingiza ikulu!.
Pasco.
Mkuu James, Ole Laiza, sio wengi humu wanaojua politics its a game of hide and seek, na ni wachache sana wanaofahamu political chess board, mwaka huh 2014 ndio game inaanza, ukiwaona watu wake very serious huku mahelicopter yakipasua anga na kupishana hewani, kumbe its all the same game!, he who pays the piper, may call the tune!.
Pasco.
Very interesting......
Wakati mwingine huwa nakuonea huruma.I wish you knew.....Anyways,nilikaribia kuandika yasiyotakiwa kuandikwa hadharani.
Naipongeza JF kwa kutuletea burudani.
Vipaji vya burudani kama hivi havipatikani kwenye forums nyingine kiurahisi rahisi.We'll guarantee a massive support
I am sure you are testing water! Or is it the chess you are trying to play?
Thanks!, tutazidi kukumbushana zaidi siku zikikaribia!.
Pasco.
Sisi ni watazamaji tuu, wachezaji ndio hao wako ulingoni wakishambulia kote kote, ardhini, angani na majini, ukiona mashambulizi, unaweza kudhania ni vita vya ukombozi kweli!, kumbe ni gemu tuu, mwisho wa siku, huwa wanavuta na kuuza mechi, its all the game of politics, politiking that way!.
Pasco.
Nendeni kwenye semina elekezi ya FITINA lumumba itaamsha sana uwezo wa timu zenu kupanga na kupitia mafanikio ya fitina. Maana tija yake mmmh
mmmh! Pasco, Lowasa hawezi kuingia CHADEMA.
Nothing is impossible under the sun!. Mimi ni muumini wa dhati wa falsafa ya Mwalimu Nyerere kuwa Rais bora wa Tanzania, atatoka CCM!. Japo tuko kwenye vyama vingi zaidi ya miaka 20 sasa, CCM ni chama kilichoota mizizi na kukomaa vilivyo, hakiwezi kung'olewa kirahisi rahisi hivi kama jinsi hii ambayo Chadema na CUF wanacheza makida makida tuu, hawawezi kuing'oa CCM!. Salama ya upinzani ni moja tuu, CCM imeguke mapande mawili!. Edward Lowassa is that opportunity, aendelee kumobilize wafuasi wake, CCM isimteue, alibwage lile zigo la Richmond na kutimkia Chadema, awe ndie mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, that is the only way, Chadema inaweza kuingia ikulu 2015, vinginevyo, 2015 ni CCM tena!.

Najua hizi kampeni na makundi ya umati wa watu, unawapa matumaini sana Chadema ya kukubalika, tatizo as it is of now, Chadema bado haina mgombea wa kuchagulika urais, yaani "presidential material!".
Pasco.
Wanabodi, haya maneno niliyasema tarehe 31st January 2014 saa 20:55 usiku kumjibu Mkuu Tumaini Makene, kwenye uzi huu!. Nimeukumbuka uzi huu, kujikumbusha nilisema nini, nilijibiwa nini na nani, wako watu humu walinielewa, wako walionibeza, wako walionitukana, lakini hatimaye mwisho wa siku nini kilichotokea!. Naendelea kusisitiza humu, siku zote, ni ukweli tuu ndio utakaosimama mpaka mwisho!.

Kweli watu wana maono ya mbali.
Shikamo Pasco
 
Wanabodi, haya maneno niliyasema tarehe 31st January 2014 saa 20:55 usiku kumjibu Mkuu Tumaini Makene, kwenye uzi huu!. Nimeukumbuka uzi huu, kujikumbusha nilisema nini, nilijibiwa nini na nani, wako watu humu walinielewa, wako walionibeza, wako walionitukana, lakini hatimaye mwisho wa siku nini kilichotokea!. Naendelea kusisitiza humu, siku zote, ni ukweli tuu ndio utakaosimama mpaka mwisho!.

Pasco

Mkuu basi weka tathimini ya huu uchaguzi,lowasa akigombea UKAWA na kula magufuli result ya uchaguzi itakuwa % ngapi kwa ngapi unavyoona.
 
Kama hana akili huyo FISADI afanye huo mkutono,maana haiwezekani wenzake wafanye BIRTHDAY YA MTOTO NJITI huku Mbeya na yeye aendeshe upuuzi wake huko.

😈😈😈 tulia basi uandike kwa kituo usikoseekosee
 
Wanabodi, haya maneno niliyasema tarehe 31st January 2014 saa 20:55 usiku kumjibu Mkuu Tumaini Makene, kwenye uzi huu!. Nimeukumbuka uzi huu, kujikumbusha nilisema nini, nilijibiwa nini na nani, wako watu humu walinielewa, wako walionibeza, wako walionitukana, lakini hatimaye mwisho wa siku nini kilichotokea!. Naendelea kusisitiza humu, siku zote, ni ukweli tuu ndio utakaosimama mpaka mwisho!.

Pasco

Pasco ni noma, we jamaa uko ikulu ama!
 
Waoga kuanzia kwa zito mpaka kwa ccm mbowe siku zote anapewa pesa na nimrod mkono moja ya masharti ni hayo asifanye mkutano ikiwa ccm wanafanya yao

Hizi pesa anazopewapewa mbona hatujawahi kuletewa ushahidi japo wa kuungaunga tuu kuwa siku fulani mahala fulani saa fulani alipewa kiasi fulani cha pesa?
 
Wanabodi, haya maneno niliyasema tarehe 31st January 2014 saa 20:55 usiku kumjibu Mkuu Tumaini Makene, kwenye uzi huu!. Nimeukumbuka uzi huu, kujikumbusha nilisema nini, nilijibiwa nini na nani, wako watu humu walinielewa, wako walionibeza, wako walionitukana, lakini hatimaye mwisho wa siku nini kilichotokea!. Naendelea kusisitiza humu, siku zote, ni ukweli tuu ndio utakaosimama mpaka mwisho!.

Pasco

Haha tupo pamoja comrade!!!

Binafsi nimefurahi kuona siasa zenye vionjo vingine!!!
 
rangi halisi ya chadema imedhihiri.
Ni chama cha maslahi, ulaghai na hakina misingi kinayo isimamia.
 
Back
Top Bottom