figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,943
- 63,716
Sasa hivi kila neno la CHADEMA ni Sheria kwa Wananchi.
Na huu ujumbe umfikie msajili wa Vyama vya siasa Nchi, Nyahoza na Mtungi.
Maamuzi ya Msajili wa vyama ni kumfurahisha Samia na Genge lake.
Kutokana na kilichotokea 29.10.2025, nipo tayari kulipiza kisasi..
Nasubiri Mtungi ajichanganye ndo atajua maharage sio mboga.
Naunga mkono hoja.
CHADEMA WAFIKIRIA KWENDA PORINI KUPIGANIA MADARAKA, YATOLEA MFANO ANC
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Sumbawanga Mjini, Adolph Mkono, amesema mazingira ya kisiasa yanayoikabili CHADEMA yanaweza kuwasukuma kufikiria njia mbadala za mapambano ya kisiasa endapo chama hicho kitaendelea kubanwa.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kabwe wilayani Nkasi, Mkono alisema historia inaonyesha kuwa vyama vinapobanwa vinaweza kubadili mbinu za kupigania haki zao.
“Ni kama wanataka kutushawishi sisi badala ya kufanya mikutano ya hadhara kama hii tuanze kufikiria pori lipo wapi tuanze mapambano ya kuiondoa serikali madarakani,” alisema Mkono.
Alieleza kuwa ANC, chama kilichoanzishwa mwaka 1912 nchini Afrika Kusini, kilifutwa mwaka 1960 na serikali ya kibaguzi ya makaburu, hali iliyowalazimu viongozi na wanachama wake kwenda porini kuendesha harakati za ukombozi dhidi ya utawala huo.
Mkono alisema baada ya miaka ya mapambano, serikali ya Afrika Kusini iliruhusu kurejea kwa ANC mwaka 1990, kabla ya chama hicho kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 1994 na kuingia madarakani.