Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Baada ya 'kuruhusiwa' kufanyika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo ya mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi, chama kimesogeza mbele ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, ili kuziwezesha timu za OPD kwenda kwenye kata za uchaguzi katika mikoa hiyo.
Kwa hiyo badala ya kuhitimisha M4C- OPD Dar es Salaam, Uwanja wa Jangwani keshokutwa Jumapili, Februari 2, sasa itahitimishwa baada ya chama kufanya mikutano huko Kusini.
Taarifa rasmi ya uhitimishaji huo wa M4C-OPD, kwa maana ya tarehe, mahali n.k, zitatolewa baadae.
Asanteni
Makene