Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,705
- 11,298
CDM wajanja, wanampa Lowasa nafasi ya kuchochea kuni............!!!!!
Habari ndiyo hiyo nenda Lowasa Vuruga kabisa magamba
CDM wajanja, wanampa Lowasa nafasi ya kuchochea kuni............!!!!!
Mkuu Marire, kwani kutajwa kwenye list of shame ndio nini?!, kwa taarifa yako ile injection ya Nimrod Mkono na Rostam Aziz inaweza kuja kukutikana nayo ni "bonafide genuine!", kama dhambi kubwa ya EL ni Richmond tuu, hilo ni zigo la wenyewe, yeye alijitolea kulibeba tuu na ugombea wa CCM ndio asante yake itarajiwayo, kinyeme cha hapo, atawabwagia zogo lao puu chini!, linakwenda na CCM yake!, jamaa ana cross to Chadema, then huyooo mpaka Ikulu! and this is the only way kwa Chadema kuingia Ikulu.Pasco hukumbuki El kutajwa katika list of shame leo waje wampitishe mgombea chadema,wewe na chadema mtakuwa mmevurugwa
Mkuu James, Ole Laiza, sio wengi humu wanaojua politics its a game of hide and seek, na ni wachache sana wanaofahamu political chess board, mwaka huh 2014 ndio game inaanza, ukiwaona watu wake very serious huku mahelicopter yakipasua anga na kupishana hewani, kumbe its all the same game!, he who pays the piper, may call the tune!.Sijapata kuwa na wasiwasi na uwelewa wako kaka Pasco! Kikubwa ambacho watu wengi wanashindwa kugundua kwako ni kwamba wewe ni mkweli na husukumwi na ushabiki.
Chadema kuacha kufanya mkutano wao Jangwani siku ya jumapili na badala yake wamepngia siku nyingine,sio kuwa ni wajinga!
Ni ukweli usiopingika kwamba mh Lowassa ndio wa kuiokoa au kuizika Ccm! Hata Chadema wanajua hilo na ndio maana hawataki kumvurugia Lowassa mipango yake ya kesho.
Lowassa sio tishio kwa Chadema,isipokua ni tishio kwa Ccm na viongozi wake. Km mtu haamini basi asubiri hadi mwishoni mwa mwaka huu!
Pasco mimi naungana na mtazamo wako.
Mkuu Makene, asante sana kwa taarifa hii, this is very good and reasonable justified excuses!. Hizi zinaitwa politics of accommodatives to avoid any confrontation and the clash of titanics, siku zote ni heri nusu shari kuliko shari kuliko shari kamili haswa kwa kuzingatia kwenye politics there is no permanent friends or enemies only a common interest !.
Huyu jamaa lazima awe accommodated na Chadema for whatever reasons because you never know 2015!. He could be the one!. And he is the one and only anayeweza kuuingiza Chadema ikulu ya Magogoni !. No one else!. Kinyume cha hapo, I'm very sorry to say that, 2015 ni CCM tena!.
PascoI
I am sure you are testing water! Or is it the chess you are trying to play?Mkuu Marire, kwani kutajwa kwenye list of shame ndio nini?!, kwa taarifa yako ile injection ya Nimrod Mkono na Rostam Aziz inaweza kuja kukutikana nayo ni "bonafide genuine!", kama dhambi kubwa ya EL ni Richmond tuu, hilo ni zigo la wenyewe, yeye alijitolea kulibeba tuu na ugombea wa CCM ndio asante yake itarajiwayo, kinyeme cha hapo, atawabwagia zogo lao puu chini!, linakwenda na CCM yake!, jamaa ana cross to Chadema, then huyooo mpaka Ikulu! and this is the only way kwa Chadema kuingia Ikulu.
Chini ya hapo, Chadema haina mtu yoyote wa kuwaingiza ikulu!.
Pasco.
Thanks!, tutazidi kukumbushana zaidi siku zikikaribia!.Very interesting......
Wakati mwingine huwa nakuonea huruma.I wish you knew.....Anyways,nilikaribia kuandika yasiyotakiwa kuandikwa hadharani.
Naipongeza JF kwa kutuletea burudani.
Vipaji vya burudani kama hivi havipatikani kwenye forums nyingine kiurahisi rahisi.We'll guarantee a massive support
Sisi ni watazamaji tuu, wachezaji ndio hao wako ulingoni wakishambulia kote kote, ardhini, angani na majini, ukiona mashambulizi, unaweza kudhania ni vita vya ukombozi kweli!, kumbe ni gemu tuu, mwisho wa siku, huwa wanavuta na kuuza mechi, its all the game of politics, politiking that way!.I am sure you are testing water! Or is it the chess you are trying to play?
Mwanamme huyu Lowasa Jembe."waliko huko moyo do do do!!!"kumtetema kudadadaki!!!!!!!
Muulize Lowassa AruMeru Mashariki si alikuwepo? Alipata nn kwenye uchaguzi?kumbe hata cdm wanaiogopa nguvu ya lowasa! Yaani pale wasingepata kijana hata mmoja kwa lowasa
Vipi hujanielewa, au huamini huo ndio mpango wenyewe mzima!. We subiria subiria siku zikikaribia labda utanielewa!, kuanzia sasa anza kufafuatilia viongozi wako ujue wanasema nini kuhusu mtu huyu ndipo sasa utanielewa nilikuwa na maana gani!.
Pasco
CHADEMA watakuwa wameyaonea huruma ma CCM maana birthday yao ingedoda.